Uwanja wa Samia Suluhu Hassan uliopo eneo la Olomoti, Arusha, ni uwanja unaojengwa kwa ajili ya maandalizi ya Tanzania kuandaa AFCON 2027.
Kuna jambo muhimu: gharama ya awali iliyotangazwa, makadirio ya mfumo wa zabuni na gharama ya mkataba ni takwimu tofauti. Hivyo ni vizuri kuzitofautisha...
Uwanja wa Mkapa ulijengwa kwa ushirikiano wa Serikali ya #Tanzania na #China, mpango uliopo mezani ni mchakato wa ujenzi wa uwanja mwingine wa kisasa ambao Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu Utamaduni na Michezo imesema itawasilisha mapendekezo uitwe Uwanja wa Samia Suluhu Hassan.
Pia, Wizara...