uwanja wa ndege serengeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Kujengwa Uwanja wa ndege Serengeti ni mbinu za kupigwa Pesa kwenda kujenga Zanzibar

    Sipingi kujengwa uwanja wa ndege wa Kimataifa Serengeti, ila kwa hali mbaya ya miundo mbinu ya barabara iliyopo nchini si muda muafaka wala kipaumbele kwa sasa kujenga huo uwanja. Watalii hawaji kwa ajili ya mbuga ya Serengeti tu ila mzunguko(circuit) ya kaskazini. Hata hivyo Samia hajengi huo...
  2. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa uwanja wa ndege Serengeti

    Serikali hao wanaopiga promo ujenzi wa kiwanja cha ndege wanatafuta mianyaa ya kuiba fedha za umma tu Sasa unajengaje kiwanda cha ndege maeneo hayo miundombinu kama barabara ni mbovu kipindukia za tope Ikumbukwe kwa musoma kuna ujenzi unaendelea wa kiwanja cha ndege na hapohapo mnataka tena...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tunajenga uwanja wa ndege Serengeti kukuza utalii

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kujenga Uwanja wa ndege Mugumu Serengeti kama sehemu ya kutimiza adhma ya Chama Cha Mapinduzi ya kufikisha idadi ya watalii Milioni nane wanaoitembelea Tanzania kwa mwaka kufikia...
  4. JamiiForums Tanzania Mkataba wa ujenzi wa uwanja wa ndege Serengeti wasainiwa

    Mkataba wa Ujenzi wa Kiwanja cha Kimataifa cha Ndege Wilayani Serengeti umesainiwa Februari 27,2025 Jijini Dar Es Salaam Utekelekezaji wa Mradi huo utasimamiwa Mhandisi Mshauri na Kampuni Binafsi ya 7-Engineering kwa kushirikana na Intairplan GMBH na Project Plus (T) LTD, kwa gharama za Sh 1.3...
  5. JamiiForums Tanzania International airport ndani ya Serengeti ni makosa makubwa kiuhifadhi

    Serikali unajua dhahiri kuwa na kiwanja cha kimataifa ndani ya hifadhi ya Serengeti ni makosa makubwa na madhara yake ni makubwa kuliko faida ila kwa wachache wanangalia faida za kifedha na kupuuza madhara makubwa ya kimazingira na hapa ndo tunapofeli. Kujenga kiwanja cha ndege cha kimataifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…