uvccm geita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    GE2025 UVCCM Geita watoa masaa 24 kwa vyombo vya usalama kumtafuta mwenyekiti wao aliyetekwa Ndugu Manjale Magambo

    Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Geita umesikitishwa na kulaani vikali kitendo cha kutekwa kwa Mwenyekiti wa Mkoa, Ndugu Manjale Magambo, kilichotokea usiku wa saa tatu, tarehe 24 Oktoba 2025, katika makazi yake yaliyopo eneo la Bombambili, Geita Mjini. Taarifa tulizonazo zinaeleza kuwa...
  2. Nipe Maji

    PreGE2025 UVCCM GEITA: Kikao cha viongozi wa CHADEMA Bagamoyo lengo kuu lilikuwa kuvuruga uchaguzi na amani kwa sababu wao sio Watanzania

    Jumuiya ya Umoja wa Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imekionya vikali Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA baada ya kuwepo kwa tuhuma za kupanga kuzuia kufanyika kwa uchaguzi Mkuu wa 2025 wa kuwachagua Rais wabunge na Madiwani. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  3. upupu255

    PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Geita, Manjale Magambo: Ukipigwa kwenye Kura za maoni usikimbie, baki ujenge Chama chetu

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita, Manjale Magambo, amewataka wanachama wa chama hicho kutokata tamaa au kununa pale wanaposhindwa kwenye kura za maoni. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread...
  4. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 UVCCM Geita: Tutawalinda na Kusaidia Viongozi Wanaojenga Chama

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita umeeleza dhamira yake ya kuendelea kuwalinda na kuwaunga mkono viongozi wanaojitolea kujenga na kuimarisha chama, ikiwemo kusaidia ujenzi wa ofisi za chama katika maeneo mbalimbali. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 UVCCM Geita yamtaka Mbunge Kanyasu aombe radhi vijana kwa kauli zake

    Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imelaani vikali baadhi ya kauli ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya Viongozi akiwemo Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Mh. Costantine Kanyasu ya kubeza vijana kutokuwa na sifa ya kuwa Viongozi. Tamko hilo la Vijana limekuja baada ya...
  6. Mindyou

    PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Geita: Hatufurahishwi kuona vijana wetu wanaondoka duniani kwa kutekwa! Tunalaani na kukemea matendo haya!

    Wakuu, Naona suala la utekaji limekuwa ni suala gumu mno imefikia hatua hadi CCM wameanza kupiga kelele. CCM tulieni. Kila mtu atafikiwa kwa wakati wake. Haya makelele Chadema walianza mapema kulalamika kuhusu utekaji mkawaona hamnazo, jamii imekaa kimyaa kama haiwahusu vile. Naona sasa hii...
  7. Waufukweni

    PreGE2025 UVCCM Geita: Hakuna atakayezuia Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025

    Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imesema katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 hakuna mtu ambaye atazuia wala kuleta vurugu katika uchaguzi huo huku Jumuiya hiyo ikiwaonya baadhi ya Viongozi wa vyama vya upinzani wanaotishia kuvuruga uchaguzi huo kuacha mara moja...
  8. upupu255

    PreGE2025 UVCCM Geita, wamewataka Wabunge na Madiwani wasijihalalishie Mitano tena

    Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imewataka baadhi ya Wabunge pamoja na Madiwani wanaojipitisha katika Maeneo mbalimbali na kuhalalisha mitano tena kupitia nafasi zao kuacha mara moja kwani ni kosa kwa mujibu wa taratibu za Chama. Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  9. Mindyou

    PreGE2025 Mjumbe Halmashauri ya Kuu CCM: Vijana wa CCM wanaowatukana viongozi kwenye magroup ya Whatsap hatutawapa nafasi za uongozi

    Wakuu, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka Mkoa wa Geita, Evarist Gerves, amekemea vikali tabia ya baadhi ya vijana wa chama hicho kuwatusi viongozi na watu wanaotangaza nia ya kugombea kwenye uchaguzi mkuu kupitia makundi ya WhatsApp. Alisema tabia hiyo ni kinyume cha maadili ya CCM...
  10. Mindyou

    PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Geita: Wapinzani wanatetemeka. Tunaenda kwenye uchaguzi, nyie jiandaeni. Asiwatishe mtu!

    Wakuu, Yaani hii sera ya No Reforms No Elections inaonekana inawatesa sana hawa CCM. Huyu ni Mwenyekiti wa UVCCM huko Geita. Hapa alikuwa anazungumza kuhusu kaulimbiu ya CHADEMA ya No Reforms No Elections. Lissu piga hapo hapo! Wapinzani wanatetemeka. Ndio maana No Reforms No Election. No...
Back
Top Bottom