utukufu wa mungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    Clemence Mwandambo amvaa Mwamposa amwambia maandamano uondoa utukufu wa watawala na si utukufu wa Mungu

    Clemence Mwandambo kupitia ukurasa wake wa Istagram amemjibu Boniface Mwambosa kwa kauli yake aliyoitoa kusema Maandamano yanaondoa utukufu wa Mungu. Soma Pia: Mwamposa: Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu Licha mimi siungi mkono maandamano lakini mimi nipo na Mwamposa anaposema Maandamano...
  2. Brojust

    Mwamposa Hongera kwa Jengo jipya la Ibada hakika utukufu wa Mungu unaonekana

    Heri ya pasaka. Sitaki kupepesa macho, Mimi ni muumini wako na ninabarikiwa sana na Huduma yako na hapa ndio natoka kwenye Ibada ya pasaka. Hongera sana kwa Jengo jipya la Ibada ingawa Bado halijafunguliwa lakini kwa clip mbali mbali unazozionyesha kwenye screen kipindi Cha Ibada hakika Mungu...
  3. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Dkt. Slaa amvaa mazima Askofu Shoo amwambia "Kuwa na misimamo"

  4. J

    Mwamposa: Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu

    Nabii na Mtume namba Moja Nchini mh Mwamposa amesema Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu Source: WASAFI media My take; Chadema wawe Waelewa Mlale Unono 😃😃🌹🌹
  5. canular

    Tusali katika kila jambo

    Utukufu wa Mungu udumu milele; Mungu afurahi katika kazi zake.Jina la Mungu libarikiwe tangu sasa na hata milele. Kutoka maawio ya jua hata machweo yake, jina la Mungu lisifiwe.Bwana yu juu ya mataifa yote, utukufu wake u juu ya mbingu. Bwana, jina lako ladumu milele; Bwana, ukumbusho wako...
Back
Top Bottom