utu wa watanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Kihongosi: CCM ni chama kinachozingatia utu wa watanzania, hakitikiswi na hakitayumba

    "Chama hiki ni chama cha watanzania wote, hiki ndo chama pekee kisicho na ubaguzi, hiki ndo chama pekee kinachojali vyama vyote, hiki ndo chama pekee kinachojali utu wa watanzania, chama cha mapinduzi kwa lugha nyepesi tunaita hii ni full package imejaa na imetimia, hiki ndo chama imara. Jambo...
  2. Waufukweni

    GE2025 Nchimbi: Hatutapokea michango inayopoteza Heshima ya Nchi yetu na kudhalilisha Utu wa Watanzania

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, hapa wakati anaongea na Wanahabari mchana wa Agosti 11, 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, kuhusu mkakati wa kudhibiti pesa za Raia wa Kigeni amesema; "Kwanza ni jambo muhimu...
  3. CT0007

    Utu wa Watanzania uko wapi?

    Historia ya Israel kuhusu usalama wa raia wake inajulikana kwa sera zake kali za ulinzi na kujihami, hasa kutokana na changamoto za kijiografia na kisiasa ambazo zimeikumba nchi hiyo tangu kuanzishwa kwake mwaka 1948. Nchi imejikita katika kuhakikisha usalama wa raia wake kwa kutumia mbinu...
Back
Top Bottom