Kasulu. Licha ya kilimo kuwa shughuli kuu ya uchumi kwa wakazi wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, ikiwahakikishia usalama wa chakula na kipato kwa kuuza mazao, shughuli hiyo sasa inatishia hatima ya elimu kwa baadhi ya watoto wilayani huyo.
Hiyo ni kutokana na baadhi ya wazazi kutelekeza watoto...