utoaji wa huduma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Serikali yaboresha utoaji wa huduma ya ardhi kidijiti

    Serikali imesema matumizi ya kidijiti ya Mfumo wa e-Ardhi yamelenga kuleta mageuzi makubwa katika utoaji wa huduma za ardhi, ikiwa ni pamoja na kuondoa urasimu. Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Kilimanjaro, Rehema Mdee amesema hayo wakati akizungumza na Radio Kicheko Live kuhusu namna mifumo...
  2. JamiiForums Tanzania Wizara ya ardhi yatoa hati zaidi ya 470; waziri Dkt. Akwilapo, ahimiza ufanisi, haki na weledi katika utoaji wa huduma

    Zaidi ya wananchi 470 wamepatiwa Hatimiliki katika banda la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakati wa Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba), yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Akizungumza leo, Julai 5, 2026...
  3. JamiiForums Tanzania DAR: Wizara ya Ardhi yatoa Hati zaidi ya 470, Waziri Dkt Akwilapo ahimiza ufanisi, Haki na weledi katika utoaji wa huduma

    Zaidi ya wananchi 470 wamepatiwa Hatimiliki katika banda la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakati wa Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba), yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Akizungumza leo, Julai 5, 2026...
  4. JamiiForums Tanzania MOI yang'ara kwa utoaji wa huduma, yahudumia wagonjwa 180,000 kwa mwaka

    Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) imeendelea kuonesha dhamira yake ya kutoa huduma bora kwa wananchi kwa kuboresha mifumo ya utoaji huduma kwa viwango vya kimataifa na kuongeza uwajibikaji. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma kuhusu utekelezaji wa miradi ya maendeleo na fursa za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…