uteuzi wa wagombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    PostGE2025 Uteuzi wa Wagombea CCM umeacha vinyongo, ipo siku wanaoumia watachoka kufunika kombe

    Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 umepita, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ilikamilisha kazi yake kwa kutangaza washindi wa Ubunge, Udiwani na Urais. Upande wa maeneo mbalimbali ya Jiji la Mbeya, Chama cha CCM Mkoa kimeshinda kwa kura katika maeneo mengi lakini bado kumekuwa na mijadala kuhusu...
  2. PostGE2025 Uteuzi wa wagombea wa CCM wa nafasi za Mameya wa jiji

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan jana Novemba 29,2025 ameongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa cha uteuzi wa wagombea wa CCM wa nafasi za Mameya wa Majiji na Manispaa pamoja na...
  3. GE2025 Sita wachaguliwa kugombea nafasi ya Spika wa Bunge

    Taarifa kwa umma kuhusu kukamilika kwa zoezi la uteuzi wa wagombea wa nafasi ya Spika 1.0 Zoezi la Uteuzi wa Wagombea wa Uchaguzi wa Spika limekamilika tarehe 10 Novemba, 2025 saa 10:00 Alasiri. Napenda kuchukua nafasi hii kuwafahamisha yale yaliyotokana na zoezi hili na mchakato mzima toka...
  4. Tume yaondoa fomu za uteuzi wa Wagombea Urais kwenye Ubao wa matangazo

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima akiongoza watumishi wa Tume kuondoa fomu za uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika ubao wa matangazo wa Tume ikiwa zimepita Saa 24 za kubandikwa fomu hizo ikiwa ni utekelezaji wa...
  5. GE2025 INEC: Zoezi la urejeshaji wa fomu na uteuzi wa wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu Rais kufanyika 27 Agosti, 2025

    Kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 34(1) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 20(1) ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Zoezi la urejeshaji wa fomu na uteuzi wa wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais...
  6. GE2025 Hivi kura za maoni za Wajumbe zinamaana gani ikiwa NEC ndio waamuzi wa uteuzi wa wagombea??

    Tulishuhudia kwa Magufuli 2020 Walioshinda kura za maoni hawakuteuliwa, wakaja kuteuliwa mpaka walioshika nafasi ya tano..!!! Imefika 2025, Samia nae hivyohivyo, Wagombea walioshinda wamekatwa. Kwa utafiti wangu mdogo ni wabunge 10 ambao walishinda kwenye kura za maoni ila wamechaguliwa...
  7. Umejifunza nini kwenye uteuzi wa wagombea CCM?

    Jana Halmashauri kuu ya CCM, imefanya uteuzi wa wagombea ubunge Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania na uwakilishi katika Baraza la wawakilishi Zanzibar. Naungana na wanachama wenzangu wa CCM kumpongeza mwenyekiti, kamati kuu, halmashauri kuu na wagombea wote walioteuliwa. Baada ya mchakato...
  8. GE2025 Rais Samia aongoza kikao cha uteuzi wa wagombea wa Ubunge na Baraza la Wawakilishi

    Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichoketi leo Agosti 21,2025 Jijini Dodoma kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wabunge wa Viti Maalum, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi...
  9. L

    GE2025 CCM: Taarifa kwa Umma Juu ya Uteuzi wa Wagombea Ubunge

    Ndugu zangu Watanzania, Hii ni Taarifa kwa Umma kutoka kwa chama kiongozi Barani Afrika yaani CCM,chama chenye kubeba matumaini ya watanzania na chenye uchungu na Maisha ya watanzania. Chama chenye kujali maisha ya watu, chama chenye kuguswa na shida za watu ,chama chenye ajenda na sera...
  10. Katibu wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro, azuia barua za Uteuzi wa Wagombea wa CCM , Udiwani Kata na Viti Maalum kwa Majimbo 8,isipokuwa Moshi Mjini

    Katika kikao cha hivi karibuni cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro, katibu wa mkoa, Mercy, alikabiliwa na hali ya kushangaza na kusikitisha. Kikao hicho kilikuwa na jukumu la kukutana na kupitisha majina ya wagombea wa udiwani wa kata na viti maalum kwa kata mbalimbali za mkoa huo...
  11. K

    GE2025 Nikipongeze CCM kwa namna kilivyo simamia uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali mpaka sasa

    Ni ukweli usiopingika kuwa CCM ni chama kikubwa sana . Kutokana na ukubwa huu ni rahisi sana kutokea misuguano ndani kwa ndani kwani kuna watu wa kila aina. Utaratibu uliotumika kipindi hiki umeweza na unakiacha chama kikiwa kimeimarika sana. Kila mmoja alishuhudia kwa uwazi jinsi mchakato...
  12. GE2025 Videos: Vurugu za wanaCCM kwenye zoezi la uteuzi wa wagombea ubunge sehemu mbalimbali nchini

    Chama kimekatika na hakuna wa kukemea. Tararibu zimekiukwa kila mahali Kuna uwezekano wa watu zaidi kuumizwa na mali zaidi kuharibiwa.
  13. GE2025 Ratiba rasmi ya uteuzi wa wagombea wa CCM wa nafasi za ubunge, uwakilishi na udiwani

    Wakuu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa ratiba ya uteuzi wa wagombea wa nafasi za Ubunge, Udiwani, Uwakilishi na Viti Maalum kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. 28/06 – 02/07/2025: Kuchukua na kurejesha fomu za kugombea. 04 – 11/07/2025: Vikao vya awali vya Kamati za Siasa za...
  14. L

    Rais Samia ametenda haki katika uteuzi wa wagombea Ubunge

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na jemedari wetu kipenzi cha Watanzania, Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan — mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini, na nuru ya wanyonge. Ameonyesha kujawa...
  15. GE2025 Kada wa CCM Simiyu alalamikia mchakato wa kuteua wagombea, asema bila haki tutapata wabunge ambao si wazuri

    Wakuu Aliyekuwa mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Meatu mkoani Simiyu kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Godfrey Sitta Sukari, akitoa malalamiko yake dhidi ya viongozi wa Chama Mkoa na Wilaya akidai kuhusika kwao kuvuruga zoezi la uteuzi wa wagombea mkoani hapo.
  16. GE2025 Kada wa CCM ageuka mbogo sakata la uteuzi wa wagombea ubunge, majina hayakufika Dodoma

    https://youtu.be/BhcymOXCtEM Kamati kuu ya Chama wajaribu kurudia na kutazama upya mchakato wa kuteuwa wagombe wa Ubunge hususani kutoka Jimbo la Meatu ili haki itendeke zaidi. Ambapo viongozi wa chama waje Jimbo la Meatu wasikilizeni wananchi kilichokuwa kinafanyika, ambapo viongozi wa chama...
  17. R

    GE2025 Hamis Mbeto: Ukitoa Rushwa Tunakukata kwenye uteuzi wa wagombea Ubunge na Udiwani

    UKITOA RUSHWA UNAKATWA, UTEUZI WA WAGOMBEA WA CCM KUELEKEA UCHAGUZI MKUU Katibu wa itikadi na uenezi na mafunzo wa chama cha mapinduzi (ccm) upande wa zanzibar Hamis Mbeto ameeleza jinsi wagombea wa chama cha mapinduzi wanavyo patikana katika mchujo wa kura za maoni na kusisitiza kuwa wagombea...
  18. E

    Makalla asema mchakato uteuzi wa wagombea CCM hadi Julai 28, 2025

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Amos Makalla amesema chama hicho kimesogeza vikao vyavuchujaji wa wagombea wa nafasi za ubunge na wabunge kutoka leo Julai 19, 2025 hadi Julai 26 ambako kutakuwa na kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu (NEC) kitakachotanguliwa na kikao cha Kamati Kuu...
  19. PreGE2025 Uteuzi wa Wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ziizokuwa wazi ndani ya CCM

    Uteuzi wa Wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ziizokuwa wazi ndani ya CCM na jumuiya zake kwa nafasi za Wilaya na Mikoa
  20. Kwanini watu wanahoji uteuzi wa wagombea wa CCM?

    Mwl. Nyerere aliwahi kusema, "kama CCM ikimtangaza mgombea wake huyo ndiye atakaekuwa Rais". Hivyo alitaka wagombea wa CCM wajulikane mapema ili watu wapate muda wa kuwajua na kuwajadili kwa muda mrefu kabla ya kuteuliwa na kabla ya siku ya uchaguzi. CCM wamefanya hivyo alhamdulilah kwa wagombea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…