uteuzi na utenguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Rais Samia afanya Uhamisho, Uteuzi na Utenguzi wa nafasi mbalimbali. Angela Kiziga ateuliwa kuwa Mbunge

  2. PostGE2025 Makonda ateuliwa kuwa Waziri wa Habari, Simbachawane atenguliwa Uwaziri wa Mambo ya ndani ya Nchi

    Simbachawene kafanya nini tena? Mbona imekuwa mapema sana kutenguliwa kwake! Tutamkoma Makonda master misifa au tuseme kuhamasisha AFCON kwa Tanzania imemfanya apate nafasi? ================== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na utenguzi wa...
  3. Kikatiba Muda wa Rais unaisha Bunge linapovunjwa. Inakuwaje Uteuzi na Utenguzi unafanyika kipindi hiki?

    Kuna uvunjwaji mkubwa wa Katiba unaendelea. Rais anaendelea kutekeleza Majukumu ya Urais baada ya Bunge kuvunjwa. Hii sio sawa. Walinzi wa Katiba chukueni hatua
  4. Uteuzi: Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kuwapangia vituo Mabalozi 25 March, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kuwapangia vituo Mabalozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi na upangiwa vituo Mabalozi ni kama ifuatavyo: i. Bi. Rachel...
  5. Rais Samia afanya Uteuzi, Uhamisho na Mabadiliko ya Viongozi Mbalimbali Januari 24, 2025

    Wakuu, Pia soma: Uteuzi: Rais Samia, afanya uteuzi wa Makamishna wa Jeshi la Polisi Desemba 9, 2024
  6. Uteuzi & Kumpangia Balozi kituo cha kazi: Stephen Simbachawene apangiwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazil

    Wakuu, TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Majaji wa Mahakama ya Rufani, Wenyeviti wa Bodi na kumpangia kituo cha kazi Balozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses...
  7. Uteuzi: Rais Samia, afanya uteuzi wa Makamishna wa Jeshi la Polisi Desemba 9, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Makamishna wa Jeshi la Polisi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi huo ni kama ifuatavyo: Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni aondolewa...
  8. UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi za TTCL, ATCL, NARCO, POSTA, UCSAF na TEMDO | Septemba 25, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka walioteuliwa ni kama ifuatavyo: i. Bw. David Chimbi ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya...
  9. Hizi pangua pangua za Rais Samia kwa wateule wake kila uchao zote zina maslahi kwa taifa au kuna flip-flops?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na maswali yakifuatiwa na hoja halafu jibu utatoa wewe mwenyewe. Swali la leo ni kuhusu hizi panga pangua au pangua pangua za Rais Samia kwa wateule wake kila uchao, je zote zina maslahi...
  10. I

    PreGE2025 Uteuzi na Utenguzi unaofanywa na Samia ni mbwembwe tu za Madaraka

    Tumeona kila mara anateua na kutengua! Wale wale aliowatengua anawateua tena na kuwatengua tena. Kwa kiingereza ana recycle watu wake bila kuwapa elimu wala semina elekezi. Anachofanya Samia ni kuonyesha nguvu na madaraka aliyonayo kikatiba. Madaraka na nguvu za Rais ndicho anaonyesha. Kama...
  11. N

    Tetesi: Nasikia fagio laelekezwa kwa Amos Makalla

    Nasikia fagio la Mama laelekezwa kwa Amos Makalla. Inasemekana ni askari mtiifu wa Msoga na aliwekwa na Mzee Kinana. Pia soma: Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia Yajaaayo....
  12. S

    PreGE2025 Kumbe Nape na Makamba ni trailer tu, lengo hasa ni waleee!

    Ili umpe kipigo cha mbwa koko mtoto wa kambo pasipo lawama, basi anza kwa kumfinya mwanao wa kumzaa. Anapoanza kulia mtoto pendwa ndipo unanza kushusha kipondo cha kuvunja mikono kwa mtoto wa kambo. Majirani wanaotazama kinachoendelea watajua unagawa adhabu kwa wote bila upendeleo, lkn kumbe...
  13. Anayefuatia ni Kinana, uteuzi wa Ridhiwani ni kama kupooza moto kidogo

    Bada ya kuwaondoa January na Nape kwenye baraza lake la mawaziri, Rais Samia anaweza kufanya mabadiliko zaidi katika serikali na chama tawala kabla ya uchaguzi ujao. Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana anaweza kuwa mtu wa juu anayefuata kukihama chama tawala. Kinana, January na Nape...
  14. Suala la Mkuu wa Nchi kutoa mkeka nusu nusu unaohusu uteuzi wa nafasi za Uwaziri na Manaibu lipo vipi?

    Habari ndugu zetu! Hivi kwa hali ya uongozi ilivyo katika nchi pendwa yetu! Je, ni kosa Mkuu wa nchi akatengua na kuteua kwa siku mbili au Tatu mfululizo kwenye nafasi za uwaziri na unaibu? Mfano unasikia leo au Kesho anatoa ka mkeka kengine ka mawaziri wengine kuteuliwa na kutenguliwa? Au...
  15. Kujadili nani kateuliwa na nani katenguliwa hakuna tija, tuangalie ni namna gani idara hizo zinaweza kuleta tija

    Huu uzi niwakuwachana wana JamiiForums haswa wale ndakindaki wa jukwaa la siasa. Niseme tu ukweli kushadadia kuteuliwa ama kutenguliwa kwa baadhi ya watu, humu ndani imekuwa ndio mada zinazo tambaa kwasasa. Naweza kuita ni ujinga, upuuzi ama ni uzwazwa. jukwaa hili halifai kuendekeza mijadala...
  16. PreGE2025 Pamoja na maboko yote aliyofanya Makonda bado anadunda. Je, amerudi kuwa lastborn wa taifa hata afanye nini hagusiki?

    Wakuu, Tumeona mkeka wa mama, kamla kichwa Byabato, Makamba na Nape, huku baadhi ya watu wakikisia ni matukio yaliyotokea hivi karibuni ndio yamewaondoa kwenye nafasi walizokuwa wakikalia. Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari...
  17. PreGE2025 Ajira na majanga yake kwenye siasa, mwenye sikio na asikie

    Naandika haya nikiwa na uchungu mkubwa, sina hata muda wa salamu maana tutachoshana tu. Nilikua nikisikia maafisa wa serikali wanashauri vijana tujiajiri, nilidhani ni wanafiki, kumbe wanapitia magumu sana na hawatamani wengine yatukute, ila sasa walishakua walemavu wa fikra hawana kimbilio...
  18. PreGE2025 Baada ya kutenguliwa Nape kaamua mazima na kufuta account yake X (Twitter)?

    Wakuu, Mambo ni moto, Nape kaondoa kaunti yake X kama TCRA :KEKLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh:. Jamaa kavurugwa mpaka ameamua kuzira? Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Kweli madaraka matamu...
  19. PreGE2025 Unafikiri nini kimewaondoa Makamba na Nape kwenye Uwaziri?

    Wakuu, Usiku umekuwa mchungu kwa Nape na Januari Makamba, tena Nape katenguliwa akiwa akiwa kwenye warsha! Pale unaenda sehemu kama waziri unaondoka mbunge! Makamba naye alitoa boko lake, huenda hiki ndio kimemuondoa: Kauli ya January Makamba ''hata kama hatumkubali Samia ni wetu'', ina...
  20. PreGE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    My Take Cheo ni dhamana, maisha yaendelee 🙏🙏👇👇 === Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt, Moses Kasiluka, viongozi hao ni kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…