Akizungumza na wanahabari Julai 31, 2025 Kada wa Chama cha Mapinduzi Cyprian Musiba ameeleza kuwa mchakato wa kuchagua watia nia ubunge unafanywa hasa kwa kujuana ndani ya chama hicho akidai ili uchaguliwe ni lazima uwe unajuana na mtu au uwe mtoto wa waziri ndipo uchaguliwe
Pia amehusia baadhi...
Wapo wanaoikosoa CCM kwa kile kinachoonekana kuwa ni "uteuzi usio wa kidemokrasia" wa mgombea urais kwa 2025. Lakini swali la msingi ni: Huu ni upendeleo au ni utaratibu wa muda mrefu ndani ya chama?
Historia inaonyesha wazi: Nyerere mwenyewe alitumia ushawishi wake kumteua
Ally Hassan...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri, Wakuu wa Wilaya na viongozi wengine katika serikali za mitaa kutoa taarifa mapema kama wana mpango wa kugombea ubunge.
Msingi wa kauli ya Rais Samia ni kutaka nafasi zao zijazwe mapema na watu...
Mbunge wa Jimbo la Lulindi, Issa Ally Mchungahela, amezitaka mamlaka zinazohusika na uteuzi wa viongozi kuhakikisha zinatoa ushauri wa kitaalamu kwa Rais, ili kuepuka changamoto zinazotokana na uteuzi wa baadhi ya viongozi serikalini.
Akizungumza Bungeni wakati wa kuchangia Hoja ya Kamati ya...
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Doroth Semu ameeleza kuwa hatamani kufanya kazi sehemu nyingine tofauti na kukitumikia chama chake Cha ACT Wazalendo
Na kwamba hata akipewa kazi serikalini hawezi kukubali.
Ikumbukwe kuwa mwaka 2017 aliyekuwa mgombea wa ACT Wazalendo Anna Mgwhira...
Vyanzo vyangu vya kuaminika toka coridos of power vimenitonya mwanachama mtokwa machozi ya furaha pale anapotajwa kiongozi mkuu amepata teuzi huko CCM.
Na ndio maana siku hizi ameacha kuweka namba Ila kwa maadili ya JamiiForums siwezi kuweka hapa utambulisho wake.
Hongera comrade Lucas...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.