utekaji mwanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. upupu255

    PreGE2025 BAVICHA Kanda ya Victoria yalaani Utekaji, yamtaka Waziri Bashungwa kuchukua hatua

    Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA (BAVICHA) Kanda ya Victoria limelaani na kukemea matukio ya watu kutekwa yanayoendelea kujitokeza nchini. Akitoa kauli hiyo, tarehe 19 Februari 2025 Mwenyekiti wa BAVICHA Kanda, Fred Michael akiwa kwenye kikao cha baraza hilo Jimbo...
  2. W

    PreGE2025 CHADEMA, RC Mwanza na Polisi wajadili madai ya kutekwa kwa Katibu wa BAVICHA, Watatu wakamatwa

    Kamati ya ulinzi na usalama mkoani Mwanza imekanusha tuhuma za kuhusika katika kutoweka kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) Mkoa wa Mwanza, Amani Manengelo ambaye inadaiwa alichukuliwa na watu waliojitambulisha ni maofisa wa polisi. Manengelo anadaiwa kutoweka Februari 14, 2025...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi

    Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi, Mwanza. Pia Soma: Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana Ameandika...
  4. Beira Boy

    Mwanza: watoto waliotekwa wapatikana, watekaji wauawa kwa kupigwa risasi

    Amani iwe nanyi wapendwa Wale watoto waliotekwa hatimaye wamepatikana lakini watekaji wameuliwa. ===== Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana Wanafunzi wawili wa Shule ya Blessing Model...
Back
Top Bottom