utekaji kenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Wanaharakati wawili kutoka Kenya watekwa Uganda wakiwa katika Kampeni za Bobi Wine

    Wanaharakati wawili kutoka Kenya, Bob Njagi na Nicholas Oyoo, walidaiwa kutekwa nyara Oktoba 1, 2025 mchana na wanaume wanne wenye silaha wanaoaminika kuwa maafisa wa usalama. Wawili hao walikuwa wameungana na mgombea urais wa National Unity Platform (NUP), Bobi Wine, katika kampeni zake nchini...
  2. Bunge la Seneti Kenya lasitisha shughuli zake kujadili kifo cha Albert Ojwang wakati Tanzania Spika aligoma utekaji kujadiliwa kwa hati ya dharura

    Wakuu, Yaani wakati Tanzania, Spika anajitokeza hadharani na kusema kuwa Bungeni sio sehemu ya kuongelea utekaji, huko Kenya mambo ni tofauti sana. Wameamua kusitisha vikao vya bunge kujadili Kifo cha mwananchi mmoja tu. Hapa ndio mjue tuna viongozi wa aina gani nchi hii...
  3. W

    Sasa hivi Ruto anajisemea angalau Jirani amejua aina ya watu ninaodeal nao, huku hakuna wafu kuna vichaa walioelimika

    Nipo mjini huko youtube, wanaharakati wachache waliokamatwa huku kwetu wamezua balaa na umoja wa ajabu kukemea tukio hilo, huwa tunasega IME - BACKFIRE. Kweli ile nchi kuiongoza ni ngumu, Kuna watu walioelimika na wana ukichaa flani hivi linapokuja suala la kutetea haki zao. Ni juzi tu hapo...
  4. Rais Ruto: Wakenya wote waliotekwa wako salama na wamerudishwa kwa familia zao. Vitendo vya utekaji havitojirudia tena

    Wakuu, Wakati Tanzania, Rais anasema matukio ya utekaji ni "Vijidrama" na Spika wa Bunge anajitokeza anasema kuwa "hakuna ushahidi" wa watu kutekwa na kupotezwa, huko Kenya wenzetu mambo ni tofauti. Rais William Ruto amehakikishia wananchi wake kwamba Wakenya wote walioripotiwa kupotea katika...
  5. Mwanamke aliyeleta vurugu kwenye mkutano wa Waziri wa Afya adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana akiwa hospitali

    Mwanamke mmoja nchini Kenya Grace Njoki Mulei, mwenye umri wa miaka 61, ameripotiwa kutekwa nyara Alhamisi mchana akiwa katika Hospitali ya Ladnan, Eastleigh, alipokuwa akiendelea na mchakato wa kupata upasuaji wa goti. Kwa mujibu wa familia yake, watu wasiojulikana waliotumia gari aina ya...
  6. Video: Raia Wakenya wachachamaa baada ya mtu aliyejitambulisha kama Afisa wa Polisi kuhisiwa kutaka kumteka mwananchi mwenzao

    Wakuu, Kama ilivyotokea Kinondoni miezi michache nyuma, Wakenya nao wameamua kuchachamaa Soma: Video: Vurugu zazuka Kinondoni baada ya raia kugoma mwenzao kuchukuliwa na Polisi wakihofia Polisi huyo kuwa mtekaji Huko nchini Kenya eneo la Roysambu, kumetokea sintofahamu baada ya wananchi...
  7. Baada ya matukio ya utekaji kuongezeka nchini Kenya, wapinzani wataka Rais Ruto ajiuzulu na kukamatwa!

    Wakuu, Kiongozi wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka, amemtaka Rais William Ruto kujiuzulu kufuatia wimbi la hivi karibuni la utekwaji nyara, likiwemo tukio lililomhusisha Waziri wa Huduma za Umma, Justin Muturi, ambaye mwanawe alitekwa na baadaye kuachiliwa. Muturi alieleza kwamba mwanawe...
  8. Mwili wa mtu aliyefariki wapatikana ukiwa unaelekea kwenye mto Ruhiru

    Wakuu, Wakati taifa la Kenya likiwa linazizima kuhusu matukio ya utekaji na mauaji, matukio kama hayo yameendelea kushamiri. Siku ya leo mwili wa mtu mmoja aliyefariki umeonekana ukielea kwenye mto Ruhiru. Mamlaka za nchini bado hazijatoa taarifa zaidi kuhusu tukio hilo. Source...
  9. PreGE2025 Mtanzania anatekwa nchi jirani hakuna tamko lolote kutoka serikali ya Tanzania, hii ina maana gani?

    Wakuu, Toka tukio la utekaji wa Maria limetokea jana Januari 12, 2024, akapatikana, akatoa statement kwa ufupi na kusema ataongea vizuri leo hakuna neno lolote kutoka serikali ya Tanzania kuhusu utekaji huo uliofanyika kwa majirani zetu! Soma Pia: Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na...
  10. Mume wa Maria Sarungi amtupia lawama moja kwa moja Rais Samia na vyombo vyake vya usalama

    Kufuatia ‘kutekwa’ kwa mwanaharakati María Sarungi huko Nairobi, Kenya, na baadaye kupatikana kwake, televisheni ya Citizen huko Kenya ilifanya mahojiano mafupi na mume wa mwanaharakati huyo. Bwana Tsehai kaituhumu moja kwa moja serikali ya Rais Samia pamoja na waliopo kwenye vyombo vyake vya...
  11. PreGE2025 Maria Sarungi kapatikana na karudi nyumbani kwake, ataongea kuhusu suala hilo Januari 13, 2025

    Wakuu, Kupitia ukurasa wake wa X, Fatma Karume ameweka post ya kuwashukuru wote waliyohakikisha Sarungi anakuwa salama, na kwamba ameambiwa Sarungi amerejea nyumbani kwake. Soma Pia: Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi
  12. Tundu Lissu aitaka Serikali ya Kenya Kuingilia kati kutekwa kwa Maria Sarungi

    Taarifa yake iliyonukuliwa na Vyombo vya Habari hii hapa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara, Tundu Lissu ameitaka Serikali ya Kenya kuingilia kati katika madai ya kutekwa kwa mwanaharakati Maria Sarungi. Taarifa za kutekwa kwa Maria zimesambaa leo Jumapili...
  13. Mwandishi wa Mtandaoni Bruce John alawitiwa baada ya kufichua uovu wa mwanasiasa

    Wakuu, Viongozi Afrika Mashariki wameingiwa na pepo gani? Kutoka nchini Kenya mwandishi anayejulikana kwa jina la Bruce John ameripotiwa kuteswa na kulawitiwa mara baada ya kufichua uovu wa Gavana wa Mombasa. Bruce kupitia mfululizo wa video zilizowekwa kwenye mtandao wa Tiktok alidokeza kuwa...
  14. W

    Rais Ruto adai hana taarifa zozote kuhusu watu waliotekwa nchini Kenya

    Akizunguza Agosti 29, 2024 katika kikao na Wananchi, Kisumu Rais Ruto amesema hana taarifa ya mtu yeyote aliyeripotiwa kutekwa na vyombo vya usalama vya nchi wakati au baada ya maandamano ya hivi karibuni ya kupinga serikali kote nchini. Aidha amehimiza wananchi ambao ndugu au marafiki zao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…