utd

The Damned Utd is a biographical novel by British author David Peace, published in 2006. Depicting events in the life of English football personality Brian Clough, it is set during Clough's brief and unsuccessful 44-day spell as manager of Leeds United during 1974, with frequent flashbacks to his earlier period as manager of Derby County. Despite critical acclaim, the novel was also the subject of controversy for its perceived negative portrayal of Clough and some historical inaccuracies. It was adapted into a film called The Damned United, released in 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. Eti wana Man Utd ni heri kubaki na Fletcher hadi mwisho wa msimu au kuletewa Ole Gunnar/Carrick?

    #GGMU #MUFC
  2. Vp mwana Man Utd, msimamo wako juu ya Amorim upoje sasa hivi? abaki au asepe?

  3. Eti hawa ndio at some point man utd walitegemea watawarudisha katika ukuu wao wa zamani

    Hawa sio waimba singeli kabisa hawa..
  4. Nikiangalia usajili wa timu nyengine, reserve ya pesa waliyonayo, uongozi mathubuti wao basi niishie kusema R.I.P kwa timu yangu Man Utd. Tulikupenda!

    Hakuna pahala tunakwenda! Naona tena tukiwa nafasi ya chini ya namba 10 ikifika hadi december. Glazers wamefyonza pesa, sasa hivi roho iko juu juu katika financial Fair play (FFP), Tuna move katika dirisha la usajili katika sunderland hivi. Namuonea huruma amorim maana hamalizi huu msimu...
  5. Wakati ligi yetu ikiwa haijaisha, EPL watoa ratiba ya msimu mpya, Man Utd Vs Arsenal wiki ya kwanza

    Sisi tunaishi katika dunia yetu. Mpaka leo ligi haijaisha😂 Wenzetu waliopo mbele ya muda wanaendelea na mambo yao. EPL washatoa ratiba ya msimu mpya wa ligi, August 15 ligi inaanza. Weekend hiyo Man Utd na Arsenal watakuwa pale OT kumenyana. Sisi kuna sehemu tunakosea pakubwa sana, au ndio...
  6. Mashabiki wa Man Utd wamekasirika baada ya Sir Jim Ratcliffe kufanya uamuzi wa ghafla siku chache tu baada ya kupoteza fainali ya Europa League.

    Mashabiki wa Manchester United wamebaki wameshtushwa kufuatia uamuzi wa ghafla wa Sir Jim Ratcliffe siku chache tu baada ya maumivu ya kupoteza fainali ya Europa League. Manchester United walipata kipigo kikubwa cha 1-0 dhidi ya Tottenham katika fainali ya Europa League siku ya Jumatano...
  7. Kwa hii timu, Man Utd tunaingia top 4 msimu ujao

  8. Leeds Utd pamoja na Burnley zapanda Ligi Kuu ya Uingereza (EPL)

    Klabu za Leeds Utd na Burnley zimerejea Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa msimu ujao wa 2025/26. Leeds Utd na Burnley zote zina alama 94 baada ya michezo 44 huku wakibakiza mechi mbili mbili kabla ya ligi ya Championship kufikia ukingoni. Kwa alama hizo hazitoweza kufikiwa na vilabu vya chini...
  9. Imebumbuluka: Anayeshawishiwa na watu wa Yanga ni kipa wa Tabora Utd Jean Noel

    Awali RC wa Tabora alitoa taarifa za uongozi wa Yanga kutuma watu kutoa rushwa ili kupanga matokeo ya mchezo wa Yanga na Tabora. Imebumbuluka kwamba kipa wa Tabora United Jean Noel anashawishiwa na Jamaa wa Yanga awafanyie wepesi waweze Kushinda mechi ya Leo. Kipa huyo amethibitisha na Tabora...
  10. U

    Tabora Utd vs Yanga: Mdau wa Tabora Utd atishiwa na mtu asiyejulikana kuhusu kuihujumu Yanga

    Kuelekea mechi ya Tabora vs Yanga. Kuna sauti zimenaswa haijulikani ni nani hasa akimkoromea mtu anayetajwa kama Dida kutoka Tabora UTD, kwamba asihujumu Yanga mechi ya kesho la sivyo maisha yake na familia yake yatakuwa hatarini. Haya sasa, wale wataalamu wa drama, sauti, IT na masuala...
  11. Aliyekuwa Kocha wa Tabora Utd: Nimefukuzwa kwa kosa langu ni kuifunga Yanga

  12. Tupo na JKT na Tabora utd mpaka zishuke daraja

    Ni kawaida kwa vilabu vidogo vidogo kukamia na kuweka nguvu nyingi zinapocheza na Bingwa mtetezi. Tabora utd baada ya kuifunga Yanga wakaweka mpaka sherehe na pesa ndefu wakagawana, Ila walipocheza na walozi wengine wanaachia tu! Kwani hii Ligi anayecheza ni Yanga peke yake? JKT akicheza na...
  13. Umeme wakatika wakati mchezo kati ya Kagera sugar na Tabora utd ukiendelea!

    Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, wachezaji wa Kagera sugar na Tabora utd wamejikuta wakipoteana na kupapasana katika giza nene mara baada ya taa zinazotumika katika dimba la Kaitaba kyzima ghafla! Ikumbukwe hii ni Ligi namba 6 kwa ubora barani Afrika! Je, Viwanja hivi havina standby...
  14. FT: Tabora Utd 0-3 Simba SC | NBC PL | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02 February 2025

    Ubaya Ubwela. Tabora United wakiwa dimba la nyumbani la kumbukumbu ya Ali Hassan Mwinyi watawaalika Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Ikumbukwe katkla mchezo wa kwanza Simba alimkung’uta Tabora 3-0, je Tabora watalipa kisasi? Tabora United wamehaidiwa Milioni 50 endapo watamfunga...
  15. Washabiki wa Man Utd, ipi inafaa zaidi Kwa nafasi ya LWB?, Kumrudisha Alvaro kutoka Benfica (18mln) au anunulie tu Dorgu (40mln)?

    https://youtu.be/23QtRyNYoyY?si=NeqYAKxzKpR9T93K https://youtu.be/jG1nesE5JKM?si=h_STHh1C1f7sIBiM
  16. Magoli ya Kutia adabu-Tabora Utd dhidi ya Utopolo

    https://youtu.be/86ilS4nqcDE?si=pxCHHxy6QqIzyD13 Binadamu wepesi kusahau. Magoli matamu, magoli hayana maelekezo. Magoli yenye dharau ndani yake. Kuna mengine mdaka mishale alipigiwa mbali akaishia kukenua tu. Tazama pia penati ya dhuruma, mpigaji alipiga akiwa amekaza magego lakini waaaaapiii
  17. Hivi ndivyo Amorim anavyoweza kupanga kikosi cha Man Utd msimu huu

    Jamaa anatumia 3..4..3
  18. Kocha gani anafaa kurithi mikoba ya Ten Hug pale Manchester United?

    Wana Man Utd, Xavi au Nagelsmann yupi anafaa kuwa kocha mpya wa Man Utd? Kipara ngoto kashaondoka. Yupi anayefaa? Pia soma > Erik Ten Hag atimuliwa Manchester United baada ya kipigo dhidi ya West Ham United
  19. U

    Baadhi ya wachezaji wa Tabora UTD kucheleweshewa leseni na TFF

    Mjumbe hauwawi. Nimeikuta sehemu wadau wa Tabora UTD wakiilalamikia TFF kuwa wamekuwa wakichelewesha leseni za wachezaji hasa wa kigeni kwa makusudi kwa maslahi yao. Hili limeikumba Tabora UTD kwani wachezaji wao tegemezi mpaka muda huu hawajapewa leseni na TFF. Inawesemekana ni makusudi ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…