utapeli wa mapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Redpanther

    Huu ni Utapeli wa Mapenzi au Ndio Upendo wenyewe ?

    Habari gani Wakuu Ngoja niende kwenye maada yangu. Kuna mdada mmoja hivi wa Graduate wa CBE -Dodoma nilikutana naye rainbow Dodoma so nikawa nimechukua contacts tukawa tunawasiliana. Baada ya kuwa nimemzoea nikamwelezea vile najisikia juu yake, dada akatolea Nje. Nikakubali tukawa tunawasiliana...
  2. jitwangabalogi

    Saikolojia, Utapeli wa mwanamke

    Wanawake ni wataalamu wa udanganyifu wa kisaikolojia. Wamebobea katika mbinu za hila zinazowafanya wanaume imara kuwa wanyonge bila hata wao kujigundua. Unadhani uko kwenye usukani? Fikiria tena. Hizi ni hila ambazo wanawake hutumia kuvunja uanaume wako na kukufanya ufuate matakwa yao: 1...
  3. Cute Wife

    Amuua sugar daddy wake na kumkata dole gumba ili aibe pesa zake

    Msichana mwenye umri wa miaka 22 aitwaye Tiffany Gray ambaye ni Mshukiwa wa mauaji ya Sugar Daddy wake, Fasil Teklemariam (53), yupo rumande akishutumiwa kumuua Fasil na kisha kumkata kidole gumba ili kutumia programu yake ya benki na Uber. Tukio hilo lilitokea April mwaka huu huko Washington...
Back
Top Bottom