Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) muziki wa singeli unashika na unakubalika maeneo mengi hadi nje ya nchi lakini pia ni muziki ambao asili yake ni Tanzania hivyo ametaka Watanzania kuwaunga mkono Wasanii wa singeli, kuusafisha muziki huo, kuwaelekeza...
Moja katika lafudhi bora Tanzania kulinganisha na lafudhi za makabila mengine wamakonde wanajua sana.
Imagine Taifa zima tungekuwa na lafudhi hiyo ingekuwa easy kutambulika international yaani unaongea wanajua huyu mwamba toka Tanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.