Kuna kipindi unafika mahali unaona si busara kukaa kimya, lakini pia si lazima ueleze kila kitu kinachokupitia.
Kwa sasa niko kwenye hatua ya kujipanga upya. Sina ajira ya kudumu, lakini ninaendelea kutafuta namna ya kujenga kipato changu mwenyewe. Kuna mambo kadhaa ninayafanyia kazi, na...