usikubali dharau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jamaikatz

    Mazoea yanaleta dharau

    Usije ukaruhusu hata siku moja watu wakuzoee kupita kiasi. Acha wakuone unalinga, unavimba na unajisikia pia, kwa sababu watu wakikuzoea sana mazoea huwa yanaleta dharau. Jua kusoma nyakati Ngoma ikivuma sana mwisho wake hupasuka.
Back
Top Bottom