ushujaa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais kwa kupata nafasi ya kuonesha ushujaa wako

    Napenda kutanguliza salamu zangu kwenu. Niwakumbushe tu fasili ya neno shujaa ni kuwa ni mtu anayefanya mambo makubwa mazuri yasiyotegemewa katika kipindi au sehemu ngumu. Ni hivi Sasa tangu uanze mchakato wa kura za maoni kila kuchapo Kuna malalamiko mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali tena...
  2. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa ndugu Zangu: Tuamue kupambana

    Najua pengine naweza jisababishia maneno ya kebehi na dhihaka lakini sitoacha kusema kile nikifikiriacho kwenu ninyi ndugu zangu. Waafrika tumekuwa tukifaulu katika kushindwa toka karne na karne.nguvu zetu zimekuwa ni udhaifu wetu. Na kwa kuwa tumeshindwa kujitathmini na kumtafuta wa kumsukumia...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Katika hili nakubaliana na Chadema, Ushujaa ni kufia vitani ukiwa Jeshini au mhudumu wa afya akiwa hospitali anatibu lakini siyo bungeni!

    Maisha ya mwanadamu ni mafupi hivyo tusimbeze yoyote anayeamua kuyalinda maisha yake na familia yake bila kuvunja sheria. Hakuna ujasiri wowote wa mtu kufia bungeni eti anawakilisha wananchi waliomchagua, hiyo Johnthebaptist nakataa kabisa. Kwa hili la Corona mashujaa ni wahudumu wa afya walio...
  4. JamiiForums Tanzania Leo Major: Shujaa wa aina yake

    Habari za jioni wana JF, Natumaini wote wazima humu, na moja kwa moja niende kwenye mada. UTANGULIZI Leo major alikuwa mwanajeshi wa Canada ambaye aliyepigana vita mbili kubwa na kuibuka shujaa wa aina yake yaani Vita Kuu ya Pili ya Dunia (1940s) na Vita vya Korea (1950s). Leo alizaliwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…