ushindi wa yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Its Pancho

    Unahitaji funguo ya ushindi wa yanga kimataifa? Well ni hizi hapa..

    Wakuu i salute you kinsmen Mimi kama mimi mwenyewe nimafuatilia sana team yetu tangu mwanzo mwa msimu na mara kadhaa niligusia swala moja moja ila leo nitagusia yote yanayotukwamisha kwa namna moja au nyingine hapa. 1: KOCHA WA FITNESS. ndugu zangu tangu mwanzo ilionekana huyu kocha wa viungo...
  2. Kichuguu

    Leo nimeweka milioni 100 kwa Ushindi wa Yanga

    Leo nimeweka bet ya 100m kuwa Yanga itashinda am 3-0 au 3-1; nikikosa zote, basi nitahamia mapangoni. Nikipata mojawapo, basi tuwasiliane nikakupe bia za bure mpaka uzitapike: "He was a wise man who invented beer!"
  3. GENTAMYCINE

    Mbona kila nikiangalia 'Clip' ya Manara akishangilia Ushindi wa Yanga SC Kwake jana nao Furaha yake ni ya Kujilazimisha tu?

    "Mwanangu Haji Manara na Mdogo wake wa mwisho wa Kike ndiyo wana Simba SC kindakindaki tokea wakiwa Wadogo ndani ya Familia yangu wakiwa wamemfuata Bibi yao Mzaa Baba ambaye alikuwa ni mwana Simba SC hakuna mfano" amesema Mzazi wa Haji Manara Mzee Manara alipohojiwa na EFM Radio mwaka 2022...
  4. THE FIRST BORN

    Ushindi wa Yanga wa Jana umekuja na kelele nyingi sana kweli Rage alikua Sahihi.

    Habari! Kichwa cha thread kinatosha kabisa sitaki kueleza zaidi ila Makolo mna shida sana. Nyie wakat mnashinda kuna siku mliona mtu anaandika humu nyuzi kusema mnabebwa? Ila shida hua ni pale Yanga akiaanza kushinda tu goli nyingi. Kama nasema uongo Jamii forum nipigen Ban... kuanzia jana...
  5. K

    Hongereni sana Yanga SC Timu ya Wananchi kwa Tamasha la jana la wiki ya Mwananchi

    Hongereni sana Yanga SC Timu ya Wananchi kwa Tamasha la jana mlifunika. Mlijaza viwanja viwili vya Mkapa na Uhuru. Wachezaji walionyesha kandanda safi kwa asilimia 73 kwa 27. Pasi zao zilikuwa za uhakika na hata Makamu wa Rais alifurahishwa na kutamka ni timu gani kama Yanga. Mmefunika...
Back
Top Bottom