ushauri kwa rais samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ushauri Kwa Rais Samia, vyama vilivyoshiriki Uchaguzi ndo viingie kwenye maridhiano baada ya uchaguzi

    Huu ni ushauri kwa Rais Samia. Nimeona wewe na Nchimbi mnahaidi kuunda tume ya maridhiano ndani ya siku 100 mkichaguliwa. Naomba nitoe ushauri kwa Rais Samia. Tunaomba CCM ilidhiane na vyama vilivyoshiriki uchaguzi kama CHAUMMA, NLD,NCCR, CUF na vingine. Mama husilidhiane na Chadema Kwa...
  2. H

    Ujumbe Wa Upendo Mkuu Kwa Rais Samia, Kama Mwanadamu Mwenzangu.

    Ushauri huu ni wa upendo mkuu. Na upendo ndiyo amri kuu tuliyopewa na Mungu wetu. Tena tunaulizwa, utawezaje kusema unampenda Mungu usiyemwona wakati unamchukia ndugu yako? Ninaamini Rais Samia ni muumini wa Mungu, mtu anayeamini katika maisha baada ya kifo, hukumu ya Mungu, na ufufuo wa wao...
  3. Ushauri kwa Rais Samia. Akae na viongozi wa taasisi na wadau bila vyama vya siasa apate mawazo mapya

    Watanzania wenzangu tumshauri kama atakubali sawa. Hatari inayokuja wanatunishiana misuli wakati upande wa pili unakubalika zaidi na slogan yao. Kwa sasa hivi asiende kishabiki au na hasira nchi ataitupa porini kwa sababu wale jamaa hawataki kuachia ugali wao. Kwanza akae na wadau na...
  4. PreGE2025 Kuelekea Uchaguzi Oktoba 2025, Ukipata nafasi ya kumshauri Rais Samia, utamshauri kitu gani kwa manufaa ya nchi?

    Wadau za leo, Kama kichwa cha habari kinavyoelezea na kuuliza wewe Mtanzania kutokana na changamoto unazopitia au kuziona katika jamii yako leo, Je, katika kipindi hiki kuelekea katika Uchaguzi wa Awamu ya Sita hapo Oktoba 2025, ukipata nafasi ya kumshauri Rais Samia Suluhu ungemshauri kitu gani...
  5. M

    Ushauri kwa Rais Samia, hata kabla afanye utaratibu wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Tanzania Bara

    Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa ninao ushauri huu kwa Mh Rais wangu Samia Suluhu Hassan. Ushauri wangu ni kuwa afanye utaratibu wa kisheria wa kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Tanzania Bara kama ilivyo kwa Tanzania Visiwani. Faida yake ni kuwa itampunguzia upinzani ndani ya CCM na...
  6. R

    OMBI: Rais Samia mrudishe William Lukuvi Wizara ya Ardhi

    Kama makosa msamehe. Binadamu wote tuko fallibe. Aliteleza lakini hakupashwa kuangushwa. Wizara ya Ardhi uoxzo ulipungua by 90%, sasa umerudi by 99% Tuma wajumbe wako watakupa taarifa za uozo ardhi Lukuvi aliimudu sana.
  7. Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Hongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania. Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia kupata uzoefu wa kutosha chini ya Mzee Magufuli ninakuomba haya yafuatayo: Kwanza, usiturudishe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…