Hapa ndipo dodoso linaanza kugusa moja kwa moja credibility ya ushahidi na value ya vielelezo.
Katuga anaonekana kujaribu kumfunga Lissu kwenye admissions alizokwisha kuzitoa wakati wa cross-examination ya mashahidi, hasa kuhusu tofauti kati ya contradiction na omission.
Hoja ya msingi ni...