Katika kisiwa cha Luzon, Ufilipino, kuna kabila la kuhama-hama la Aeta, watu wa kiasili ambao wamejitenga na sehemu nyingine za ulimwengu kwa maelfu ya miaka.
Majaribio yote ya hapo awali ya "kuwastaarabu" ya wakoloni wa Uhispania na Waingereza yalishindwa, na waliachwa kwa hiari yao wenyewe...