Umuofia Kwenu wana JF,
Swimming pool si sehemu salama kwa mtoto bila ulinzi.
Ndugu wazazi tuache ushamba usio kuwa na kichwa wala miguu ,kuna mambo mengine yaache yawapite hata kama una hela ,unajenga swimming pool nyumbani just for showoff ila hujui ABCs zozote za kumiliki Swimming Pools...