Kichaa kapewa rungu .
Tuuseme ukweli Maza hakutosha kuwa hata Mwl wa Primary .
Reasoning Capacity yake ni ndogo mnoo.
Kunamengine yanayotokea hadi unajiuliza ,hivi hadi hili nalo lilikuwa na sababu gani hasa ?
Kama Taifa tunanufaikaje na huu upuuzi?
tusipokubali kuungana kumkabili tujiandae...
Kinachoendelea ni kwa serikali na vyombo vyake kujaribu kuwaziba midomo wale wote wanaofichua vitendo viovu vya utekaji na upotevu wa wananchi. Lakini la ajabu ni kwamba badala ya serikali kutoa ushirikiano kwa watoa taarifa inaonekana serikali inajikiti zaidi kukana kuwepo kwa vitendo hivi na...
Bila kujali hali ya raia huyo, ana hela au hana hela, kijana, mwanamke, mzee, mtoto, mrefu, mfupi, mweusi au mweupe, Usalama wa Raia mmoja mmoja wa Marekani na Nchi za Ulaya na Usalama wa Wananchi wote ni suala la muhimu sana kwa mataifa hayo.
Hali hiyo ni tofauti sana kwa Nchi za Kiafrika...
Takwimu zote, pamoja na hisia za wananchi ni kuwa polisi wanagandamiza na kudhulumu haki za wananchi. Kauli hii iliwahi kutolewa pia hata na Rais Samia siku za mwanzoni mwa utawala wake, kabla na yeye hajageuka.
Polisi wa Tanzania, mahali ambapo watajitokeza kwa uwingi mkubwa na kila aina ya...
Jana nilikuwa naongea na moja ya wananchi washio Arusha.
Ktk kupiga stori za hapa na pale aliniambia visa na matukio ambayo mimi binafsi yamenitisha na kuniumiza kichwa.
Usalama wa Wananchi Arusha hasa mitaa ya Tengeru umekuwa Mdogo.
Kuna matukio ya kiharifu yametokea kati ya Tarehe 12 na 15...
Miezi sita iliyopita hapa jukwaani kulikuwepo na mijadala kuhusu ujenzi holela wa vituo vya mafuta hali ambayo inadaiwa kuhatarisha usalama wa Wananchi kutokana na vituo hivyo kujengwa karibu na makazi ya watu.
Mfano wa Kituo cha mafuta kilichotajwa ni kituo cha Lake Oil kilichopo Kawe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.