usaili tra

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MOSintel Inc

    Usaili wa mahojiano TRA kufanyikia Dar na si makao makuu Dodoma ni kuhujumu watanzania

    Habari wakuu, Kwanza nitoe pongezi kwa wale wote waliochaguliwa kwa ajili ya usaili wa mahojiano utakaofanyika kuanzia tarehe 02 Mei hadi 14 Mei, 2025. Na kwa wale wote walio na malalamiko tayari imetolewa nafasi ya kuwasilisha malalamiko Yao ili waweze kutendewa haki kama ilivyo kwa wale...
  2. Mstahiki Mea

    Matokeo ya usaili TRA 2025

    Matokeo haya hapa https://www.tra.go.tz/images/uploads/public_notice/english/MAJINA_YA_USAILI.pdf Hongereni mliochaguliwa mmeupiga mwingi
  3. K

    Nina mashaka na TRA huenda wakachakachua matokeo

    Yani NBAA wamewakabidhi matokeo tangu tarehe 23 mwezi huu, wenyewe mpaka leo hawajayatangaza, wanasubiri nin kama sio uchakachuzi tu unafanyika huko?
  4. M

    Kwa vilio vinavyosikika kutoka kwa wabunge Ni dhahiri NBAA na TRA wamefanya kazi nzuri kwenye mchakato wa usaili

    Nimewasikia wabunge wakilalamika kuwa limefanyika kosa kubwa Sana zoezi la usaili kukabidhiwa kwa NBAA kwa ajili ya kuendesha zoezi Hilo badala ya kuendeshwa na Utumishi kama ilivyokuwa kwa ajira za ualimu na nyinginezo. Kama hauna D mbili unaweza kuamini kwamba wabunge hao Wana Nia ya dhati...
  5. Mkalukungone Mwamba

    Matokeo ya Usaili TRA Kutangazwa Aprili 25, 2025

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa matokeo ya usaili wa maandishi uliofanyika Machi 29 na 30 mwaka 2025 kwa watahiniwa walioomba nafasi za kazi TRA yatatangazwa Aprili 25 kupitia tovuti ya TRA (www.tra.go.tz) baada ya kuwasilishwa na mshauri elekezi NBAA Aprili 23, mwaka huu...
  6. M

    Serikali iwachukulie hatua TRA walioita watu wasiokuwa na sifa kwenye interview ili kuichafua serikali

    Nimesitikishwa sana na yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii hasa wale wale wajinga wajinga waliomtumia Mange Kimangi clips inayoonyesha TRA imewaita watu wasiohusika kwenye interview. KItendo hicho kimesababisha vijana waongee maneno magumu magumu dhidi ya serikali, TRA waliweka matangazo...
  7. Chongeni

    Usaili wa TRA Ulikuwa wa Haki

    Kwa maoni yangu, usaili ulikuwa wa haki, pepa ilikuwa fair, haikuwa ngumu wala haikuwa rahisi. Halafu ndo nini sasa kutuhesabisha vidole namna ile, wanatoa calculation halafu marufuku kutumia Calculator…..!!! Toa maoni yako, pepa ilikuwaje kwako… Nimeiweka Screenshot ya Calculation question kwa...
Back
Top Bottom