urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. Zelenskyy: Ukraine tunahitaji silaha zaidi kupambana na Urusi

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy amesema nchi yake inahitaji silaha zaidi kwa ajili ya kundelea kupambana na Urusi kauli ambayo amesema inalenga washirika wake wenye nia ya kuwasaidia. Ametoa kauli hiyo baada ya kutembelea eneo la mapambano Mji wa Kharkiv, Mei 28, 2022 na kuzungumza na...
  2. Wale mabingwa wa kufurusha mabomu wa Syria wametua kuisaidia Urusi dhidi ya Ukraine

    Mabingwa wa kurusha mabomu makubwa ya kudondosha kutoka Syria wametua nchini Urusi ili kuisaidia nchi hiyo katika vita yake dhidi ya Ukraine, watu hawa hudondosha mabomu ya petrol ana chlorune kutoka kwenye ndege. Aina hii ya mabomu hufanya uharibifu mkubwa hasa yanapodondoshwa kaatika makazi...
  3. P

    Twende mbele turudi nyuma..! Urusi ndiye mtawala wa Dunia ajaye, na utawala huu utaamua utawala wa milele ambao wakaliwa na...

    Grandbook haidanganyi, soma kwa makini na uelewe DANIEL 1: 31 Wewe, Ee Mfalme, uliona, na tazama, sanamu kubwa sana. Sanamu hii, iliyokuwa kubwa sana, na mwangaza wake mwingi sana, ilisimama mbele yako; na umbo lake lilikuwa lenye kutisha. 32 Na sanamu hii kichwa chake kilikuwa ni cha dhahabu...
  4. Kikosi cha Urusi cha "58th army" chafyekwa bila kusazwa hata mmoja

    Sijui Putin huwaambia nini wazazi wa hawa wanajeshi wanaouawa kama senene. ___________________ KATERYNA TYSHCHENKO - Tuesday, 24 May 2022, 21:46 According to an intercepted conversation of a Russian serviceman, Russia’s 58th Army, which the aggressors themselves called one of their leading...
  5. Makundi ya wanajeshi wa Urusi waanza kugomea vita vya Putin

    Huyu kichaa ataachiwa apigane mwenyewe.... Kuna wanajeshi wameamua liwalo na liwe hawapigani. _________________ More Russian soldiers refuse to fight in Ukraine Prepared to face consequences, many Russian troops are disobeying their officers and are not willing to go to Ukraine...
  6. Mwandishi wa Habari wa Kiitaliano, Angelo d'Orsi adai Mgogoro wa Ukraine ni Vita kati ya NATO dhidi ya Urusi

    "Anyway, this is a NATO war against Russia..." ameyasema hayo mwanahabari na mwanahistoria Angelo D'Orsi kuhusu mgogoro unaoendelea Ukraine. Akizungumza na Italian TV, mwandishi huyo pia alikosoa vikwazo vya Magharibi dhidi ya Urusi, ambavyo vinaikumba Ulaya yenyewe. Pia alihoji "the fact"...
  7. 5

    Germany: Urusi hawatashinda vita Ukraine

    Germany’s Scholz says Russia will not win the war in Ukraine German Chancellor Olaf Scholz says Putin has failed in all his strategic aims and will not dictate terms of peace. Russian President Vladimir Putin will not win the war in Ukraine, Germany’s Chancellor Olaf Scholz has said, while...
  8. Zelensky: Acheni kucheza na Urusi, vikwazo zaidi viwekwe

    Rais Volodymyr Zelensky ameyataka Mataifa ya Magharibi kuacha michezo na kuiwekea Urusi vikwazo vikali ili kumaliza vita, akisisitiza Ukraine itabaki kuwa Nchi Huru Siku za hivi karibuni, Zelensky amekuwa akikosoa vikali Nchi za Magharibi huku Vikosi vya Urusi vikijaribu kudhibiti Miji miwili...
  9. Urusi yazalisha bidhaa zinazofanana na za Coca cola baada ya kampuni hiyo kusitisha uzalishaji nchini humo

    Huko Urusi Baada ya kampuni ya Coca cola kusitisha uzalishaji nchini Russia kupinga uvamizi wa Russia nchini ukraine. Sasa Warusi wamevichukua Viwanda vya Coca Cola Vilivyoko na kuendelea na uzalishaji wa vinywaji hivyo ambavyo sasa haiitwi Coca Cola tena bali Cool Cola. Na Vinywaji hivyo...
  10. Henry Kissinger: Ukraine iiachie Urusi majimbo ili ipate amani

    Mwanadiplomasia mbobezi wa Marekani ambaye ndiye msanifu wa vita baridi wakati wa uwaziri wake,bw Henry Kissinger amesema Ukraine kwa hapa ilipofikia haina budi kuiachia Urusi baadhi ya majimbo yake ili vita viishe haraka. Hayo ameyasema kwenye mkutano wa kibiashara wa DAVOS. Ameongeza kusema...
  11. Shirika la kijasusi la Urusi, FSB limesema Warusi walio ondoka Urusi watimia milioni 4 ndani ya muda mfupi - hakukaliki

    Wengi wamekimbilia mataifa majirani na kwingine, japo wametumia mgongo wa kwamba wanakwenda kufanya kazi ila Urusi hakukaliki, taifa linapitia hali ngumu na ndio mwanzo tu.... FSB wameanza kutisha familia zao wawashawishi warudi, la kushangaza kunao wametorokea Ukraine kule ambapo kichaa Putin...
  12. Mahakama Nchini Ukraine yamhukumu Mwanajeshi wa Urusi kifungo cha maisha jela

    Mahakama imemhukumu Mwanajeshi wa Urusi, Vadim Shishimarin kifungo cha maisha jela kwa mauaji ya Raia. Hii ni kesi ya kwanza ya uhalifu wa kivita tangu vita kati ya Urusi na Ukraine kuanza Mwanasheria wa Mwanajeshi huyo amesema Hukumu iliyotolewa sio ya kushangaza kwasababu kumekuwa na...
  13. M

    Poland inachekesha, Wakati yenyewe imegoma kununua gesi toka Urusi, inaitaka Norway iwagawie faida wanayopata kwa kuwauzia gesi kwa bei ya juu

    Huwezi kuamini mawazo na akili ya Viongozi wa Poland!! Wam,eamua kuachana na gesi ya urusi ya bei rahisi kwa kuwa wanaweza kununua gesi pia toka Norway na nyingine toka Ujerumani (inayopata gesi toka urusi). Lakini wanailalamikia Norway kuwa inawauzia gesi kwa bei kubwa sana karibuni mara NNE...
  14. M

    Poland yasitisha kununua gesi toka Urusi: Lakini mabomba yaliyokuwa yanaleta gesi toka Urusi sasa yataleta gesi toka urusi kupitia Ujerumani!

    Poland imesitisha mkataba wa kununua gesi toka ujerumani. Sababu ni kwamba hawataki kulipia gesi kwa ruble!! Ila cha kushangaza ni kwamba wanasema yale mabomba yaliyokuwa yanaleta gesi toka urusi kwa sasa yataunganishwa kwa ujerumani ili yalete gesi toka ujerumani. Inajulikana kuwa ujerumani...
  15. Majina 963 marufuku kuingia Urusi, staa wa Hollywood, Morgan Freeman naye ni mmoja wao

    Urusi imetoa orodha ya watu 963 wakiwemo Wamarekani maarufu kuwa ambao hawaruhusiwi kuingia Urusi kutokana na sababu mbalimbali. Jina maarufu lililoongezeka katika orosha hiyo mbali na Rais wa Marekani, Joe Biden na mmiliki wa Facebook, Mark Zuckerberg pia kuna muigizaji wa Hollywood, Morgan...
  16. Rais wa Ukraine ataka Urusi imlipe kwa uharibifu iliofanya nchini mwake

    Raisi wa Ukraine ameomba jumuiya ya kimataifa imsaidie kuilazimisha Urusi kulipa gharama za uharibifu wake katika nchi hiyo, uharibifu ambao umetokea tangu vita vianze takriban miezi mitatu iliyopita. Meanwhile, Volodymyr Zelensky, Ukraine's president, has proposed a formal deal with the...
  17. Marekani yaishutumu Urusi kutumia Chakula Kama silaha ya kivita Ukraine

    Maneno hayo ya secretary wa US- Antony blinken yanakuja baada ya Russia kushikilia moja kwa moja miji ya bandari na viwanda ya Odesa na mariupol. Russia ilizuia usafirishaji wa bidhaa za Chakula na mazao kwa kile kilichodaiwa kua Chakula na mazao hayo yamekua yakienda kwenye maghala ya nchi za...
  18. Urusi kuiteka bandari ya Mariupol hakuna faida yeyote kwa sababu ya vikwazo vya kimataifa, haiwezi kufanya biashara yoyote

    Nchi za Magharibi zimeweka vikwazo vya kibiashara na kibandari kwa meli zote za Urusi na kutokupokea chochote au kupeleka chochote kwenye bandari zilizo chini ya Urusi. Bandari ya Mariuopol Urusi itafurahia tu kuikalia lakini ni white elephant toka siku walipoishika Haina shughuli za...
  19. M

    Ruble ya Urusi inazidi kuchanja mbuga kwa kuongezeka thamani

    Leo ijumaa pesa ya Urusi Ruble imezidi kupaa kwa thamani ikilinganishwa na fedha zingine kama dola na Euro. Kwa sasa dola moja ni ruble 57.67. Ikumbukwe kuwa kabla ya vita dola moja ilikuwa sawa na ruble 82, na mwanzoni mwa vita baada ya Urusi kuwekewa vikwazo lukuki vya kiuchumi, fedha yake...
  20. Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema Urusi inatumia silaha dhaifu katika vita

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky anasema Urusi inatumia silaha zisizo na nguvu dhidi ya Nchi yake ni ishara ya kushindwa kwao. Amesema hayo baada Makamu Naibu Waziri Mkuu wa Urusi, Yury Borisov kudaia kuwa wana teknolojia yenye uwezo wa kuangusha ndege zisizo na rubani kwa umbali wa Kilometa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…