urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. Russia kuiuzia Uganda mafuta kwa bei rahisi, Museveni ataka nafaka na ngano

    WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesisitiza kwamba Russia haihusiki kwa vyovyote vile na ongezeko la bei ya bidhaa muhimu kote duniani, na kwamba taarifa hizo zinaenezwa na nchi za Magharibi ili kueneza chuki dhidi yake. Amesema hayo akiwa Kampala, Uganda katika ziara yake ya...
  2. S

    Trump: Biden kapeleka dola bilioni 60 za walipa kodi wa USA nchini Ukraine, kununua silaha ambazo zaishia kuharibiwa vibaya na Urusi

    Rais mstaafu wa Marekani Donald Trump kamkemea na kumkosoa vikali rais Biden kwa kutumia vibaya pesa za walipa kodi wa Marekani dola bilioni 60 kununulia silaha na kuzipeleka Ukraine, ambapo silaha za mahela yote hayo zinaishia kuharibiwa vibaya na kuangamizwa na majeshi ya Urusi. Wakati huo huo...
  3. Wanajeshi wa Ukraine waelekea kukomboa mji wa Kherson unaokaliwa na Urusi

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anasema majeshi yake yanasonga mbele ‘’hatua kwa hatua’’ katika eneo la kusini linalokaliwa la Kherson. Mji wa Kherson ulitekwa na Urusi mapema katika vita na unakaa kwenye eneo la kimkakati magharibi mwa mto Dnipro. Siku ya Jumamosi, maafisa wa ulinzi wa...
  4. Ukraine yaharibu Makombora ya S-300 ya Urusi

    Jeshi la Ukraine limetoa video ikionyesha uharibifu wa mfumo wa kuzuia Makombora wa Urusi aina ya S300 uliogaribiwa huko kusini mwa Ukraine. Ukraine imeharibu gari la kurusha Makombora hayo pamoja na gari la komandi,tukio limetokea huko Zelenotropynske. Tetesi zinasema Makombora ya HIMARS...
  5. Urusi na Israel zapiga mabomu Syria

    Huku Israel ikipiga maeneo ya kijeshi yanayoratibiwa na makundi ya Iran, naye Urusi amepiga mabomu kwenye maeneo ya raia na kuua watoto kule Syria. Syrian state news agency SANA reported Israeli strikes coming from the disputed Golan Heights shortly after midnight Friday, killing three...
  6. Urusi hali tete nchini Ukraine, hivi sasa inapumulia mashine

    Urusi inapambana kudumisha kampeni yake ya kijeshi na Ukraine na inaweza kuwa na uwezo wa kujibu mashambulizi, mkuu wa idara ya kijasusi ya kigeni ya Uingereza amesema. Mkuu wa MI6 Richard Moore alisema Urusi imeshuhudia"anguko la kihistoria" katika malengo yake ya awali ya kumwondoa rais wa...
  7. Umoja wa Ulaya waidhinisha awamu ya 7 ya Vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Urusi

    Wanadiplomasia wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana vikwazo vipya dhidi ya Russia kwa sababu ya RussiaUkraineWar ikiwa ni pamoja na kupiga marufuku kuagiza dhahabu kutoka nchini humo na kuzuia mali za Sberbank Vikwazo hivyo vinakusudia kuadhibu na kudhoofisha uchumi wa Urusi ambapo Usafirishaji wa...
  8. Rais Putin aionya Marekani dhidi ya Syria

    Haya sasa mambo yanazidi kuwa mengi then muda mchache raha ya hii dunia uwe mtabe. Marekani ni taifa ambalo ni wezi, vibaka, waporaji, majambazi bila kusahau maovu na uchafu wao kwenye hii dunia. Putin ameionya marekani kuachana na uwizi wao wa mafuta pale Syria mara moja pamoja na mambo yao ya...
  9. J

    Wabunge wa Urusi waishutumu ukraine kutumia wanajeshi waliotengenezwa maabara na Marekani

    Wabunge wa URUSI wamelalamika juu ya operesheni maalumu nchi Ukraine kuwa ngumu kutokana na UKRAINE kutumia wanadamu wasiokuwa wa kawaida- Superhumans- ambao wamekuwa modified kwenye maabara za siri nchini Ukraine na marekani. Madai haya yanafuatia tuhuma za Urusi na China juu ya kuwepo maabara...
  10. Putin ajisahau na kukiri kwamba Urusi inapitia kipindi kigumu kwenye teknolojia

    Sijui kwa bahati mbaya au amekiri kimaksudi, maana kila siku huwa anabwatuka mikwara jinsi atabonyeza manyuklia yake. ===== Vladimir Putin has admitted Russia is facing “colossal” technology problems due to the world’s biggest entertainment brands ceasing operations in the country. But the...
  11. Urusi hana hamu na HIMARS, ghala la silaha lafyekwa na kupelekea hasara kubwa

    Urusi wanasaka hizi silaha za HIMAS usiku na mchana maana zinawatesa zaidi ya balaa, na bado Marekani wanaendelea kuziongeza, ni aina ya silaha yenye uwezo wa maangamizi makubwa na ikipiga wanaiondosha ilipofyatulia, hivyo hata ukijibu unaambulia kupiga mapori bila chochote cha maana humo...
  12. Urusi inataka kupitisha Sheria itakayopiga marufuku mambo yoyote yanayohusiana na LGBT

    Hii sheria inapitishwa miongoni mwa malengo ni kulinda watoto juu ya kuathiriwa na maswala yanayohusiana na LGBT nchini Urusi. Tumeona nchi kama Belarus wangese wamepigwa marufuku kabisa. Tukumbuke pia tokea hii operation ianze LGBT walikua wakipiga vita Urusi na kufikia kuchoma hata bendera...
  13. M

    SI KWELI Rais wa Urusi, Vladimir Putin alifanya kazi Nchini Tanzania

    Picha ambayo baadhi ya watu wanadai kuwa inamuonyesha raisi wa Urusi Vladimir Putin akitoa mafunzo kwa wapigania uhuru kusini mwa Afrika ilisambaa na kutumiwa na baadhi ya watu kuhalalisha kuwa nchi za kiafrika zinapaswa kuunga mkono Urusi katika vita vya Ukraine. Picha hiyo ilisambazwa sana...
  14. Wakati Urusi inaendelea kuugulia kibano cha HIMARS, Ukraine wapata aina mpya nyingine ya silaha - M270 system

    Mrusi alishasema atakayemsaidia Ukraine asubiri matokeo, leo Ukraine wanaendelea kupokea aina mpya ya silaha zinazowatesa Urusi na hamna chochote Putin anaweza kufanya. ======================== Ukraine said Friday it had received its first delivery of a sophisticated rocket-launcher system...
  15. M

    SI KWELI Putin aitaka Kenya kumaliza njaa badala ya badala ya kuifunza Urusi namna ya kumaliza migogoro ya Kimataifa

    Rais wa Urusi Vladimir Putin, amelitaka Taifa la Kenya kumaliza kwanza njaa nchi Kenya badala ya kuifunza Urusi namna ya kumaliza migogoro ya Kimataifa. Putin amemfananisha Balozi wa Kenya Umoja wa Mataifa kama kijana mdogo anayejaribu kuutikisa mbuyu na kuishia
  16. M

    KWELI Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za nyuklia, Aprili 20, 2022

    Urusi yaanza mazoezi ya kutumia makombora ya nyuklia ni saa chache baada USA kukubali kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu.
  17. M

    Ndiyo maana Zelensky amelalamika sana!! Kumbe Makamanda wake walikuwa kwenye kikao na wauzaji wa vifaa vya kijeshi, makombora ya Urusi yakawaangamiza!

    Russia comments on deadly strike on Ukrainian city Moscow said it targeted a meeting of Kiev's military commanders with foreign arms suppliers in central Vinnitsa. Russia attacked the House of Military Officers in Vinnitsa with sea-launched Kalibr cruise missiles, the Defense Ministry said on...
  18. EU imejipiga "risasi ya ya kwenye mapafu" kwa kuiwekea vikwazo Urusi

    The European Union has “shot itself in the lungs” with ill-considered economic sanctions on Russia, which, unless rolled back, risk destroying the European economic sanctions on Russia, which, unless rolled back, risk destroying the European economy, Hungary’s prime minister has said...
  19. M

    Wakati Marekani ikiitaka China ishiriki kudhulumu mafuta ya Urusi, China imeikebehi Marekani kuhusu uelewa wake kuhusu "Jumuiya ya Kimataifa"

    Wakati Marekani ikiwa katika harakati za kuishirikisha China ikubali kudhulumu mafuta ya Urusi, ikidai kuwa hilo ndilo takwa la "jumuia ya kimataifa", China imeikebehi Marekani kwa kuweka ramani mbili za dunia zinazoonesha jumuiya ya kimataifa: Moja ambayo ndiyo jumuiya halisi ya kimataifa...
  20. M

    Uovu wa Marekani umekithiri! Bila aibu inadhani inaweza kuishawishi India na China kudhulumu mafuta ya Urusi

    Marekani ni taifa ovu kupiltiliza!! Marekani imepokonya mabilioni ya dola za marekani mali ya urusi! Kama hiyo haitoshi imepokonya mabilioni ya dola za marekani zikiwa ni pesa binafsi za raia matajiri wa Urusi, na imepokonya mali za raia hao kama majumba, ndege, mashua za starehe nk. Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…