Biden asaini Finland na Sweden kujiunga NATO, Putin aendelee kupuuzwa

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,216
7,907
Marekani imekuwa mwanachama wa 23 wa NATO kukubali ombi la Sweden na Finland kujiunga na muungano. Licha ya vitisho kutoka Russia Finland na Sweden zimeendelea na mchakato wa kujiunga na NATO huku wakipuuza mkwala mbuzi kutoka Moscow.

Screenshot_2022-08-09-23-18-04-04.jpg
Screenshot_2022-08-09-23-34-58-66.jpg
Screenshot_2022-08-09-23-37-55-87.jpg
 
Vita na myukreini imesababisha mambo mengi yaliyokuwa yamelala infact mmarekani anapitia humohumo kuhakikisha ajenda zake zinafanikiwa. Urusi inazidi kujisogeza mbele ya meno ya maadui.

Ila angefanya nini? Akae atulie nato wazidi kumsogelea?
 
Putin na urusi kwa ujumla wanakuzwa bure. Boss anayetawala ni US pamoja na NATO yake.
Lengo la NATO kuelekea Mashariki ni kuifikia RUSSIA kwa ukaribu, kipindi USSR inaishia Germany wale wa West hasa Marekani hakupenda maana aliona Russia ataweza kumpiga tokea popote pale, Hivo basi baada ya kuanguka USSR mshauri mmoja wapo wa kijasusi aliwaambua USA ili uweze kumkabili Russia inakupasa umfate kwa njia yoyote ile! Iwe kijeshi au kisiasa ata ikibidi kununua viongozi waliopo madarakan na nchi jiran na Russia ili wajiunge na USA.

Kwaiyo kinachofanyika sasa ni kutekeleza ushauri tu waliopewa japo wengine walishasema kuwa NATO kujitanua upande wa Russia kutakuka kuleta maafa huko mbele na ndiyo hicho kinatokea Ukraine sasa.

USA anafanya hivi kuyafuata mataifa yenzake hasimu kule ASIA, na ndiyo maana unaona ata Taiwan inaelekea huko sio kwa bahati mbaya lah! Ila tu kumdhibiti China kupitia Taiwan, kumdhibiti Russia kupitia nchi jiran nayeye! Leo hii USA kaitoa sadaka Ukraine na malengo yake unayajua? Anataka Russia adhoofike ni kijeshi! Unahisi atafaidika vipi?

Mwisho wa siku tuseme tamaa za Mmarekanj kutaka kuitawala Dunia ndizi zitapelekea Dunia kuwa sehemu ya hatari
 
Russia kaingia kwenye mtego tayari na analijua hilo
Hyo vita ndo mtego wenyewe, akijinasuamo kila mtu atamcheka, kitu asichotaka, akiendelea, anakuwa anatimiza malengo ya US,
Vichina ni vijanja kutokuingia mtegoni mwa US kupitia Taiwan
 
Lengo la NATO kuelekea Mashariki ni kuifikia RUSSIA kwa ukaribu, kipindi USSR inaishia Germany wale wa West hasa Marekani hakupenda maana aliona Russia ataweza kumpiga tokea popote pale, Hivo basi baada ya kuanguka USSR mshauri mmoja wapo wa kijasusi aliwaambua USA ili uweze kumkabili Russia inakupasa umfate kwa njia yoyote ile! Iwe kijeshi au kisiasa ata ikibidi kununua viongozi waliopo madarakan na nchi jiran na Russia ili wajiunge na USA.

Kwaiyo kinachofanyika sasa ni kutekeleza ushauri tu waliopewa japo wengine walishasema kuwa NATO kujitanua upande wa Russia kutakuka kuleta maafa huko mbele na ndiyo hicho kinatokea Ukraine sasa.

USA anafanya hivi kuyafuata mataifa yenzake hasimu kule ASIA, na ndiyo maana unaona ata Taiwan inaelekea huko sio kwa bahati mbaya lah! Ila tu kumdhibiti China kupitia Taiwan, kumdhibiti Russia kupitia nchi jiran nayeye! Leo hii USA kaitoa sadaka Ukraine na malengo yake unayajua? Anataka Russia adhoofike ni kijeshi! Unahisi atafaidika vipi?

Mwisho wa siku tuseme tamaa za Mmarekanj kutaka kuitawala Dunia ndizi zitapelekea Dunia kuwa sehemu ya hatari
Ukweli ni kwamba dunia inaendeshwa kwa propaganda kwenye media na marekani pamoja na NATO wamefanikiwa hapo.

Pia US amewekeza sana kwenye intelligence dunia nzima hivyo ameweza kuwa na influence kwenye mataifa mengi.

Kwanini urusi alazimishe nchi nyingine kuwa chini yake? Atumie njia za kidiplomasia kupata suluhisho badala ya kutumia vita.
 
Utatumia diplomasia kwa mtu ambaye analeta dharau na majibu ya shombo?
 
Huyo mshauri mmojawapo wa kijasusi anaitwa nani jina lake?
Lengo la NATO kuelekea Mashariki ni kuifikia RUSSIA kwa ukaribu, kipindi USSR inaishia Germany wale wa West hasa Marekani hakupenda maana aliona Russia ataweza kumpiga tokea popote pale, Hivo basi baada ya kuanguka USSR mshauri mmoja wapo wa kijasusi aliwaambua USA ili uweze kumkabili Russia inakupasa umfate kwa njia yoyote ile! Iwe kijeshi au kisiasa ata ikibidi kununua viongozi waliopo madarakan na nchi jiran na Russia ili wajiunge na USA.

Kwaiyo kinachofanyika sasa ni kutekeleza ushauri tu waliopewa japo wengine walishasema kuwa NATO kujitanua upande wa Russia kutakuka kuleta maafa huko mbele na ndiyo hicho kinatokea Ukraine sasa.

USA anafanya hivi kuyafuata mataifa yenzake hasimu kule ASIA, na ndiyo maana unaona ata Taiwan inaelekea huko sio kwa bahati mbaya lah! Ila tu kumdhibiti China kupitia Taiwan, kumdhibiti Russia kupitia nchi jiran nayeye! Leo hii USA kaitoa sadaka Ukraine na malengo yake unayajua? Anataka Russia adhoofike ni kijeshi! Unahisi atafaidika vipi?

Mwisho wa siku tuseme tamaa za Mmarekanj kutaka kuitawala Dunia ndizi zitapelekea Dunia kuwa sehemu ya hatari
 
Vita na myukreini imesababisha mambo mengi yaliyokuwa yamelala infact mmarekani anapitia humohumo kuhakikisha ajenda zake zinafanikiwa. Urusi inazidi kujisogeza mbele ya meno ya maadui.

Ila angefanya nini? Akae atulie nato wazidi kumsogelea?
Yani hii Vita mpaka iishe US atakuwa kafaidi sana kutokana nchi nyingi zinaongeza stock ya silaha toka US au ku-update zile za wakati wa nyuma kidogo. Mfano ni Kina Finland hao walikuwa wana stock kidogo sahv wanaongeza na Japan alishatangaza ana mkakati wa kuongeza jeshi lake kina Poland n.k hao wote ni wateja wa US.
 
Na uzuri wa hizo siraha za USA huko Ukraine hazijakomboa hata Kijiji
 
Back
Top Bottom