urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. Ukraine waparamia na kulipua mfumo wa silaha wa Urusi unaoitwa "Legend 2"

    Urusi anazidi kuingia hasara hadi kero, kila akigeuza milipuko inalipuka ghafla na kuondoka na zana za maana sana, kuna hii wanaita "legend 2" imezamishwa.... The Operational Command South unit posted on Facebook that Ukrainian forces used "missile and artillery units to fire and destroy the...
  2. 19 Agosti 2022 SHARED Jeshi la Urusi lajiandaa kukata mtambo wa nyuklia kutoka kwa gridi ya taifa - Ukraine inasema

    Kama tumekuwa tukiripoti, kampuni ya nishati ya nyuklia ya Ukraine Enerhoatom imesema kwamba wanajeshi wa Urusi wanaodhibiti kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhya huenda wanapanga kukitenganisha na njia zinazoingiza nishati katika mfumo wa nishati wa Ukraine katika siku za usoni. Enerhoatom...
  3. SADC yapinga sheria mpya ya Marekani kuhusu uhusiano wa Afrika na Urusi

    Kama ilivyo kwa kawaida yake kwa Marekani kujipa namlaka ya kumwambia kila mtu cha kufanya na ambacho si cha kufanya. Safari hii hilo limegonga mwamba kwenye kikao cha wakuu wa nchi za SADC kilichofanyika huko DRC Kinshasa. "Si vema na haki kwa nchi za Afrika kuingizwa kwenye mzozo ambao hatuna...
  4. S

    Jeshi la Zimbabwe latia fora kwenye International army games iliyohusisha nchi 30 huko Urusi

    Jeshi la Zimbabwe latia fora baada ya kuamua kushiriki International army games huko Urusi inayohusisha nchi 30 duniani. Katika mashindano hayo, kikosi bora cha tanks cha Zimbabwe kimeshindwa kulenga shabaha iliyowekwa, mbali ya kuchukua muda mwingi karibu mara mbili ya muda uliotumiwa na timu...
  5. China kupeleka wanajeshi wake Urusi kwa ajili ya mazoezi ya kijeshi

    China inatarajia kutuma baadhi ya Wanajeshi wake kwenda Urusi kwa ajili ya kufanya mazoezi ya pamoja ya Kijeshi kuanzia Agosti 30 hadi Septemba 5, 2022. Mazoezi hayo pia yatahusisha Wanajeshi kutoka Nchi za India, Belarus, Mongolia, Tajikistan na nyingine kadhaa. Aidha, China imekuwa ikiiunga...
  6. Urusi yakiri kuhusu matukio ya hujuma ndani yake

    Kwamba ghala za silaha kuendelea kulipuka lipuka zenyewe ni matukio ya hujuma ndani kwa ndani. Russia has admitted that the detonation of ammunition at a military depot in the Dzhankoy region of Crimea was due to sabotage. Follow DW for the latest. The Russian Defense Ministry on Tuesday said...
  7. Idadi ya raia wa Urusi wanaondoka Crimea yazidi kupaa

    Baada ya Milipuko mfululizo na kuwepo taarifa daraja linaloiunganisha Crimea na Urusi litashushwa na sigara muda si muda livushe warusi kupitia chini ya Bahari Kurudi kwao Imeripotiwa siku ya jana tarehe 15/08/2022 zaidi ya magari 38k yamevuka daraja la Crimea kurudi Urusi idadi ya juu zaidi...
  8. S

    Urusi: Uvumi wa kuwa silaha za wamagharibi (US+NATO) ni 'superweapons' unayeyuka mithili ya theluji mchana wa jua kali

    Ule uvumi kuwa silaha za wamagharibi ni 'superweapons' (bora zaidi) unayeyuka kama theluji/barafu mchana wa jua kali. Waziri wa Ulinzi wa Urusi General Shoigu amezungumza ktk kongamano la usalama la kimataifa leo Jumanne. Waziri huyo amesema silaha zote zilizomiminwa Ukraine na mataifa yote ya...
  9. Sigara zazidi kuchoma zana za Vita za Urusi huko Crimea

    Sigara hiyo ya hatari ambayo imefanya Urusi wanajeshi wake kuondoka Kherson Na imelipotiwa ndio iliochoma ndege za kivita na kushambulia Depot ya uhifadhi Siraha zao huko Crimea Vitisho vya Sigara hiyo vimepelekea vikosi vya Urusi kuweka kambi maeneo hatarishi kama kwenye vinu vya nyuklia...
  10. Sasa ni dhahiri Urusi imeshindikana

    Wall Street re-launches Russian bond trading – Reuters The US government has authorized allowing holders to dispose of their assets Several major US banks have restarted facilitating trades in Russian debt obligations after getting a green light from Washington, Reuters reported on Monday...
  11. Wanajeshi wa Urusi waanza kimbia Kherson

    Russia rasmi na utawala wa vibaraka wao waamua kuondoka mapema Kherson mara baada ya kukosa usambazaji wa Siraha baada ya vituo vya karibu vya kuhifadhi kulipuliwa. Huku kikosi cha Anga ambacho kingeweza toa sapoti kipindi cha kuzuia uvamizi kuungua kwa moto wa Sigara ulioteketeza ndege zaidi...
  12. S

    Urusi yawapatia majeshi yake bunduki bora zaidi duniani; uzito wake ni chini ya kg 3, na yapiga risasi 800/dkk (AK-47 ni 600/dkk)

    Kampuni ya Kalashnicov imesema mwisho wa mwaka huu itayapatia majeshi ya Urusi silaha ndogo mpya ikiwemo submachine gun namba moja kwa ubora Ulimwenguni iitwayo PPK-20. Wataalamu hao wa masuala ya silaha wamesema wanaamini kuwa PKK-20 ni submachine gun namba moja kwa ubora duniani na itaendelea...
  13. S

    Marekani: Howitzer za Ufaransa (CAESAR 155 mm Self Propelled Howitzer) zateketezwa vibaya mno Ukraine kwa artillery ya Urusi

    Marekani yaripoti kuwa howotzer za Ufaransa (French CAESAR 155 mm Self Propelled Howitzer) zinachomwa vibaya na kuangamizwa na MLRS (Artillery) za Urusi nchini Ukraine. Katika kuthibitisha hilo Marekani imeambatanisha na video iliyorikodiwa na drone (video ipo hapo chini) wakati artillery ya...
  14. Baada ya Crimea, matukio ya milipuko mingine yaibuka kambi za jeshi Urusi na Belarus

    Nahisi kuna ujumbe unatumwa kwa Putin kwamba popote kambi na kinaweza kikanuka hata sebuleni kwake kiaina bila kombora kutumwa kutoka Ukraina.....kwamba humo humo jeshini kwake wenyewe kwa wenyewe wanaweza kuliamsha.... Military bases in Russia and Belarus were rocked by an outbreak in fires...
  15. Urusi ilipoteza ndege tisa kwenye mlipuko Crimea

    Hadi aibu.... ====== Ukraine’s air force says nine Russian warplanes were destroyed by explosions that rocked an airbase in Russia-annexed Crimea on Tuesday. The blasts, which Russia says were caused by detonations of stored ammunition, killed one person and wounded 14 others, according to the...
  16. Biden asaini Finland na Sweden kujiunga NATO, Putin aendelee kupuuzwa

    Marekani imekuwa mwanachama wa 23 wa NATO kukubali ombi la Sweden na Finland kujiunga na muungano. Licha ya vitisho kutoka Russia Finland na Sweden zimeendelea na mchakato wa kujiunga na NATO huku wakipuuza mkwala mbuzi kutoka Moscow.
  17. Marekani anatoa misaada kiduchu hataki Ukraine ashindwe wala kushinda sana, anataka vita iwe ndefu ili kumfanyia utafiti Urusi na Ukraine awe mdaiwa

    Ndicho nachokiona, Marekani anatumia misaada kidogo kidogo lengo ni Ukraine asishinde wala asipigwe, yani vita iwe neutral wawe wanatwangana na mrusi, Nipe nikupe, Marekani akiona Ukraine anazidiwa anamtumia silaha , akiona anakaribia kupata ahueni anazima data rais wa Ukraine anaanza...
  18. M

    Zelensky sasa anataka dunia yote iwasuse warusi wote. Warusi wote warudi urusi!! Dunia yao iwe urusi!!

    Baada ya kuona vikwazo vya kiuchumi vimeshindwa kumdhibiti Putin, baada ya kuona misaada ya silaha na fedha (kwa sasa zimefikia zaidi ya dola bilioni 65!) zimeshindwa kumfanya Putin aiachie Ukkraine, sana sana anagawa uraia kwa wa-ukraine wa maeneo yaliyotekwa. Sasa Zelensky anaona njia pekee ni...
  19. S

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini amwambia Antony Blinken kuwa Afrika haitaki kulazimishwa na Marekani kuzichukia Urusi na China

    Waziri wa mambo ya nje wa South Afrika kamchana Blinken kuwa South Afrika na Afrika kwa ujumla hawataki siasa za kipumb2vu za Marekani za kulazimisha kuchaguliana maadui au marafiki. Maneno hayo yamejiri baada ya Biden wa Marekani kumtuma waziri wake wa mambo ya nje Bwana Blinken aende South...
  20. M

    Pamoja na kupewa fedha na silaha zinazofikia thamani ya dola bilioni 60, bado Ukraine inalialia kuwa imezidiwa kwa mbali na urusi! Hii imekaaje?

    Nadhani hili ni dili! Ukraine inapewa silaha hewa halafu wajanja wanaweka fedha mfukoni!! Kuna taarifa ilitoka kuwa ni asilimia 30 tu ya silaha zinazotolewa na nchi za magharibi kwenda ukraine ndizo zinazowafikia walengwa!! Watoa kodi wa nchi za magharibi wanapigwa pakubwa sana!! Silaha za dola...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…