urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tajiri mwingine wa Urusi afa, matajiri wa Urusi wako taabani, wanawindwa

    Wanauawa kwa vifo vya kutatanisha... Dmitry Zelenov, a Russian real estate tycoon, died while visiting friends in Antibes, a coastal city in France. According to French newspaper Var Matin, Mr Zelenov died after tumbling from a flight of stairs on December 9. He was having dinner with friends...
  2. JamiiForums Tanzania Hatimaye Wamekiri bayana: Kumchukulia poa Urusi ni kujipeleka kwenye kipigo

    Jenerali wa Kiukraine na kiongozi mzoefu, ambaye yuko kwenye mstari wa mbele wa mapigano. Amekili wazi katika mahojiano na chombo cha habari na kusema Urusi siyo mjinga, pia siyo mdhaifu. Kamfananisha na hogo pevu ambalo ukitaka kuling'oa sharti uwe muerevu. Sasa kazi kwao ambao wanamchukulia...
  3. JamiiForums Tanzania Urusi kutuma wasanii wakawatumbuize wanajeshi wake walioishiwa na ari au mzuka

    Wanahisi labda wanajeshi wakitumbuizwa watakubali kupigana maana pamekua pagumu.... Russia says it will deploy musicians to the front lines of its war in Ukraine in a bid to boost morale. The defence ministry announced the formation of the "front-line creative brigade" this week, saying it...
  4. JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani linataka Urusi iondolewe kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Congress Wants to Boot Russia From U.N. Security Council The Biden administration is also interested in watering down Russia’s influence at the United Nations. By Jack Detsch, a Pentagon and national security reporter at Foreign Policy., and Amy Mackinnon, a national security and intelligence...
  5. JamiiForums Tanzania Maandalizi ya Makombora ya nyuklia ya Urusi

    The Russian Strategic Missile Forces loaded two Yars intercontinental ballistic missiles (ICBM) into their intended silos this week, the Defense Ministry reported. The Russian military released footage of the loading operations. The nuclear rearmament took place at the Kozelsk missile...
  6. JamiiForums Tanzania Wakati Zambia wakimlilia Kijana wao Nyirenda aliyefia vitani Ukraine; mzaliwa wa Rwanda aachiwa na majeshi ya Urusi

    Mzaliwa wa Rwanda Suedi Murekezi ambaye inasemekeana kuwa ni - US airforce veteran alikamatwa na majeshi ya urusi katika mwezi June akiwa nchini Ukraine ni mmoja kati ya askari 64 wa Ukraine walioachiwa na majeshi ya Urusi kupitia SWAP ya mateka wa kivita wa pande zote mbili. ===============...
  7. JamiiForums Tanzania Kiwanda kikubwa cha kijeshi Urusi chatiwa kiberiti

    Putin alipokua anapiga vyanzo vya umeme kule Ukraine, hakujua na kwake sio mbali kihivyo, kwamba hakufikiki, haya. --- Another suspicious fire has started in Russia as the country struggles amid the Ukrainian war. The military-linked Zvezda engineering plant in St Petersburg caught ablaze –...
  8. JamiiForums Tanzania Kambi nyingine ya kijeshi yalipuliwa tena ndani ya Urusi

    Tuliambiwa kwamba Ukraine akithubutu kulipua ndani ya Urusi ndio itakua mwisho wake, haya, imekua kawaida sasa kwa kambi za kijeshi kulipuka mabomu ndani ya Urusi. Huyu Putin aguswe wapi ndio afanye kweli, kwenu wadadisi wa mambo.... Bwana Utam Urusi teule --- An explosion was heard overnight...
  9. JamiiForums Tanzania Video: Wanajeshi wa Urusi wapokea kichapo kwa kugoma kwenda kupigana Ukraine

    Hawa ni walioponea kufa na kurudi Urusi, wamegoma hawarudi tena kwenye mapambano....
  10. JamiiForums Tanzania Ukraine walipua makao makuu ya Wagner group, sasa sijui Urusi watategemea msaada wa nani tena

    Hawa Wagner ndio kete aliyokua amebaki nayo Mrusi, maana ameishiwa wanajeshi ambao wamefyekwa balaa. Sasa makao makuu ya Wagner yamefanywa majivu....mbele kwa mbele twende wanetu Ukraine, likomboeni taifa lenu. Vita vilianzia Crimea na vitaishia Crimea, nimeona habari nyingine leo Crimea...
  11. JamiiForums Tanzania Crimea: Kambi Ya Kijeshi Ya Urusi Yalipuliwa

    Jumla ya milipuko kumi yalipuka kwenye kambi ya jeshi ya Urusi huko Crimea. Kuua wanajeshi na kuharibu miundombinu ya kijeshi. ....... Ukrainian strikes have destroyed Russian barracks in a brutal attack in the Russian-occupied city of Melitopol, in the Zaporizhia Oblast. A total of 10...
  12. JamiiForums Tanzania Pentagon Yairuhusu Ukraine Kushambulia Kwa "DRONES "Ndani Ya Urusi!

    WAR IN UKRAINE Pentagon gives Ukraine green light for drone strikes inside Russia https://www.thetimes.co.uk/article/ukraine-drone-warfare-russia-732jsshpx
  13. JamiiForums Tanzania Mzambia aliyetumika kuisaidia Urusi kwenye vita, kuzikwa Zambia

    Supapawa baada ya kuishiwa wanajeshi, imekua ikitumia wafungwa kupigana kwa niaba yake, sasa Mzambia aliyeuawa kwenye hayo mapambano, mwili wake utaletwa nyumbani....takbir The body of a Zambian student who died while fighting in Ukraine after being jailed in Russia will be repatriated on...
  14. JamiiForums Tanzania Rasmi Urusi, Marekani zabadilishana wafungwa

    Nyota wa mchezo wa kikapu wa Marekani, Brittney Griner amerejea nyumbani akitokea Urusi baada ya mabadiliko hayo huku Viktor Bout akirejea upande wa pili baada ya kuwa kifungoni kwa Miaka 12. Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Griner yupo salama na alikuwa njiani kurejea nyumbani akipitia...
  15. JamiiForums Tanzania Siri za zavuja stakabadhi zinazoonyesha Urusi ilipanga kuiteka Ukraine kwa siku 10

    Kilichokuja kutokea hakikutegemewa kabisa, Urusi iliangukia pua kwenye hili zogo na wanajutia balaa maana wanauawa kama senene na sasa Ukraine wameanza kulipua ndani ndani kabisa ya Urusi. A British defence and security think tank has revealed details of Moscow's pre-invasion plan for Ukraine...
  16. JamiiForums Tanzania Putin apapatika na kufanya vikao baada ya mabomu kulipua kambi tatu Urusi ndani ndani

    Wana wamembip tu wala hajaguswa vizuri tayari keshaanza kuita vikao ndani kwa ndani, baada ya kambi za ndani ya Urusi kulipuliwa tena ndani kabisa mleee! Alishasema Urusi ikishambuliwa atafanya makubwa, haya tuone. Russian President Vladimir Putin on Tuesday called a meeting with his security...
  17. JamiiForums Tanzania Milipuko viwanja vya ndege viwili vya Jeshi Moscow

    Super power anafundishwa jinsi ya ku hit Target. Hii ni baada ya mashambulizi ya Russia kwenye soft target nchini Ukraine kupungua wakambembe wazee wakazi wameona watoe darasa kidogo. taarifa ni kwamba. Vyanzo vingi vya Urusi vimeripoti kuwa Ndege mbili za kimkakati aina ya TU-95 zimearibiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Askari wa Urusi sehemu ya"mobilized "Waandamana na kuvamia kambi ya Kijeshi wakidai warudishwe nyumbani!

    Moja ya madai ya hao kuruta wa kirusi ni vifaa duni vya kijeshi walivyopewa🤔 ..... Mobilised Russian soldiers preparing for the war in Ukraine appear to have enough poor equipment and training as a mass walkout is caught on camera in Kazan, southwest Russia. The footage shows uniformed...
  19. JamiiForums Tanzania Urusi waanza kuondosha raia kwenye mji wa Nova huku Ukraine wakijongea kuukomboa

    Wazalendo wa Ukraine wanaendelea kudhihirisha walivyo balaa, Urusi ilijipigia kura na kusema italinda hayo maeneo kwa namna yote, ila hilo halijawa tishio kwa hawa vijana wa Ukraine, wanaendelea kutiririka kama machizi. Russian authorities in the occupied town of Nova Kakhovka in eastern...
  20. JamiiForums Tanzania Rais wa Ufaransa: "Muundo wa usalama wa Ulaya lazima utoe 'guarantee' kwa usalama wa Urusi"

    "Lazima tufikirie juu ya muundo wa usalama, ambao tutaishi kesho. Ninazungumzia, haswa, maneno ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kwamba NATO inakaribia mipaka ya Urusi na kupeleka silaha ambazo zinaweza kutishia usalama wa Urusi," alisema. Rais wa Ufaransa Emmanuel Muundo wa usalama wa baadaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…