Nafasi ya Urais TFF imebakia 1 nayo ni ya Wallace Karia, wagombea wengine 6 wamekosa sifa kwenye mchujo na usaili wa awali
Tatizo kubwa lililowanyima sifa za kugombea Urais ni kukosa endorsement kila mgombea alitakiwa awe na angalau endorsement 5, ambapo mgombea Wallace Karia amevuna...
Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Yanga, Ally Mayay, leo Juni 20, 2025 amerudisha fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF).
Mayay amegusia suala la baadhi ya wagombea kukosa endorsement na akasema kuwa hizo zote ni changamoto ambazo hujitokeza hasa nyakati kama hizi...
Shija Richard ambae ni mtia nia ya Kugombea nafasi ya Urais wa shirikisho la soka nchini TFF, amesema amerudisha fomu yake ya Urais wa TFF bila ya kupata Endorsement hata moja.
Richard Shija ambae aliwahi kuja mjumbe wa kamati ya Utendaji Yanga SC amesema wakati anapambana kupata Endorsement...
Nyota wa zamani wa Yanga Sc na timu ya Taifa,Taifa Stars, Ally Mayay Tembele ametangaza nia ya kushiriki uchaguzi mkuu wa TFF mwaka huu kama mgombea nafasi ya Urais wa Shirikisho hilo unaotarajiwa kufanyika Agosti 16, 2025 Jijini Tanga.
Mwakilishi wa nahodha huyo wa zamani wa Stars atamchukulia...
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatangaza Uchaguzi Mkuu wa TFF utakaofanyika tarehe 16/08/2025 jijini Tanga.
Nafasi zinazogombewa ni Rais (Nafasi 1) na nafasi ya Wajumbe wa Kamati ya Utendaji (Nafasi 6)
Gharama za kuchukua fomu Nafasi ya Rais ni 500,000 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.