Mimi nilichokiona kusema mtu ni mraibu wa simu kuna vitu vimemiss
kwa kiasi kikubwa huwa naona waraibu wa simu huzitumia sana kwenye internet mfano kuperuzi google, mitandao ya kijamii, youtube, whatsapp groups, downloading, n.k.
Ni mtoto wa ndugu yangu kamaliza darasa la saba kaja huku kwangu.
Hana simu lakini huwa anaazima ya house girl, ni smartphone.
Siku ya jana nilitoka kidogo chumbani mida ya saa nane kupiga survey ya kiusalama, nilipopita karibu na chumba chake niliona mwanga, mlango ulikuwa haujarudishiwa...
Simu ni Kifaa muhimu cha mawasiliano kwa binadamu yeyote lakini haitakiwi kuwa sehemu ya mwili wako kiasi cha kukufanya uwe kama mtumwa kifaa hicho.
Wataalaamu wa Saikolojia wanasema, ukitaka kubaini kama umepata Uraibu (Addiction) ya matumizi ya Simu, anza kuangalia ni kwa muda gani unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.