upinzani

  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wizi na ufisadi wa fedha za serikali uliokithiri katika awamu hii, suluhisho haliko ndani ya CCM wala upinzani kuwa mbadala wa CCM

    Tumefikia mahali ambapo hali ya wizi na ufisadi wa fedha za serikali inatisha. Si Tamisemi tu, bali hata vyombo vya usalama na taasisi za serikali ugonjwa ni huo huo. Udanganyifu katika mifumo ya malipo imekuwa ndio habari ya mjini, kuanzia tozo za kupaki magari, fine za trafiki, miamara ya...
  2. JamiiForums Tanzania EFF ya Julius Malema imechokwa ghafla dhidi ya uMkhonto we Sizwe ya Zuma, Kulikoni vijana?

    Kulikoni chama kipya cha Mzee Jacob Zuma MK Party kinaipiku EFF na kukipumulia kisogoni chama kikongwe cha DA? Nadhani mageuzi ya fikra na sera ni muhimu zaidi ya kulalamika bila alternatives upinzani lazima kujipanga kwa sera mbadala, mipango na mikakati madhubuti ya kutekelezeka...
  3. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kumekucha: Mchungaji Msigwa amkataa John Mrema kuwa Msimamizi wa Uchaguzi Kanda ya Nyasa

    Mchungaji Msigwa ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa anayemaliza muda wake amepinga Mjumbe wa sekretari Mrema kusimamia Uchaguzi jimboni kwao Source Jambo TV Yajayo yanafurahisha😀 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Nyasa, ambaye pia anagombea kutetea...
  4. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Upinzani, jiandaeni basi walau hata kuwa Kambi Rasmi ya Upinzani

    kiujumla, upinzani umekata tamaa kabisa, licha ya ukweli kwamba ukata wa fedha za kufanya mikutano ya hadhara, umekita mizizi kwenye vyama vyao. hakuna uhakika wa chochote katika chaguzi zijazo, licha ya kwamba mazingira sawa ya kufanya siasa yamewekwa na serikali iliyopo madarakani.🐒...
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania wamekosa chama cha upinzani. Chama tawala kinajisimamia na kujikagua. Mbowe na CHADEMA yake wanawaza pesa tu

    Inashangaza sana na inatia huruma. Maana Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe inapokea ruzuku ambazo ni kodi za wananchi. Lakini kero na matatizo ya Watanganyika yanazungumzwa na chama tawala! Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe wanawaza ruzuku na kulamba asali huku wakitengeneza...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi chama cha upinzani kinavyomsulubu Edgar lungu ambaye aliachia uongozi kwa amani

    Zambia's former President Edgar Lungu has insisted that he is "virtually under house arrest" although police said the monitoring of his movements was "strictly for his own safety". "I cannot move out of my house without being accosted and challenged by police, who drive me back home," Mr Lungu...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upinzani wanaweza sana kulalamika lakini hawana mipango mbadala kabisa

    Kama malalamiko wanayoyatoa upinzani nchini, yangekua na mbadala, au yangeambatana na mbadala wa sera, mipango na mikakati bora zaidi, dhidi ya iliyopo sasa, basi ingeleta maana na changamoto halisi ya upinzani wa kisiasa, tena wenye tija, na kwakweli kama taasisi ya upinzani ingeheshimika sana...
  8. JamiiForums Tanzania Toka tupate uhuru zonge la kijinai linaloitesa mamlaka ni kushambuliwa kwa lisu. Dola ijisafishe kabla ya upinzani kushika nchi.

    Mods huu uzi msiufute plz wala ku u merge. Shambulio la lisu ni teso kwa kwa dola. Wenye hekima litanzueni kwa akili kumbukeni muda hautasamehe hili jambo mpaka majibu yapatikane.
  9. JamiiForums Tanzania Maandamano ya vyama vya upinzani ndio mafanikio ya kipekee kabisa ya Awamu ya 6 ya Rais Samia

    Sikumbuki ni utawala wa awamu ya ngapi hasa tuliona polisi wakiyalinda maandamano ya vyama vya upinzani,hata nchi jirani ya Kenya maandamano Yao yamejaa vurugu mauaji na damu kumwagika,hata awamu ya nne ilioulea upinzani tunaouona hadi Leo haikuruhusu maandamano ya amani,Bado nakumbuka mauaji ya...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ruksa siasa chuoni, upinzani marufuku

    Wanafunzi wanaolipwa Tshs 10,000 za wavuja jasho na damu wanaosoma chuo cha TIA[Uhasibu]- Temeke, Dar es Salaam wamemtembelea Jokate Mwangelo ambaye ni mama mwenye mtoto mmoja ofisi za UVCCM Makao Makuu Dodoma. Inasemekana hawa waasibu ndio wanakuja kuwa chawa baada ya UE mwezi wa sita. Hawa...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna siri ipi iliyojificha kuwa mgombea Urais kupitia vyama vya upinzani Tanzania?

    Kwa muda mrefu nimejaribu kufuatilia hili swala la kugombea Urais wa Tanzania kupitia vyama vya upinzani bado sijapata jibu la moja kwa moja. Unaona kabisa kuna wanasiasa wako serious kabisa kuwa wagombea wa Urais kupitia upinzani huku kwa hali halisi unaona wazi level zao ni kupambania ubunge...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upinzani nchini umekosa uelekeo kabisa

    ukata wa fedha, sera na mikakati mibovu isiyo na tija ya kuwaunganisha wanachama wao imekua ni chanzo cha kuzorota kwa hamasa katika harakati zao mitandaoni na mtaani. maandamano yamekosa mvuto kabisa, chaguzi za ndani ya vyama vya kisiasa hata haijulikani zipo, zimeisha au bado zinaendelea...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni mpinzani, mkosoajiau, waibua kero kwa Serikali?

    Naomba niweke mambo sawa ili tusiendelee kuumizana. Kutokana na kwamba baadhi ya watu wana uelewa finyu kuhusu misamiati ya mpinzani, mkosoaji, mwanaharakati na sisi waibua kero; kuna watu wameumizwa kwa kuonekana kana kwamba ni wapinzani. Mfano: Bwana mmoja aliona mabweni ya wanafunzi yana...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania upinzani uliasisiwa ili kudanganya mataifa mengine kuwa kuna demokrasia

    Inchi yetu Wananchi wake waliingizwa kwenye Vyama vingi Kwa utashi wa MATAIFA ya nje na Viongozi walio na hila Ili waonekane wanaenda na matakwa ya wakati katika Siasa. Waliotaka Vyama vingi hawakuzidi asilimia 22, wakapewa Kwa hila huku mifumo ilibakia ileile ya chama kimoja, katiba, tume ya...
  15. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe asema Kikwete alimwambia CCM hakina muda mrefu madarakani na kumshauri abaki upinzani. Aliahidiwa uwaziri wa fedha iwapo angejiunga CCM

    Zitto Kabwe amesema mwaka 2012 alipata changamoto chama chake cha wakati huo cha CHADEMA akidai ilikuwa juhudi ya kumzuia kuwa mwenyekiti wa chama hicho, Zitto amesema kulikuwa na makubaliano baada ya kugombea uchaguzi wa nyuma yake kwamba amuachie kijiti Freeman Mbowe na atampokea miaka mitano...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Polisi watia fora maandamano CHADEMA: Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui!

    Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui! Baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa na mkoa wa Kagera wakiongozwa na askari polisi katika maandamano ya amani katika Kata ya Kashai, Hamgembe, Bilele Rwamishenye, Manispaa ya Bukoba.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa vya Upinzani vipo wapi?

    Vimekwenda au kupotelea wapi? Yale majigambo na vishindo vya mikutano na maandamano hatuvioni tena? nauliza tu vipi vipooo? Hata vinara wao hatuwasikii kwenye mahojiano hakuna muendelezo wa mbinu na mikakati ,imekuwa kama hawapo. Hii ni 2024 tunahesabu miezi tu, au wanasubiri kesho uchaguzi...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu kiti cha Rais 2025 (video): Unabii waweka wazi kuwa ni Samia S. Hassan (CCM) vs Bishop Josephat Gwajima (CHADEMA)...

    Ukiitazama na kuisikiliza hii video ya unabii huu toka kwa Mwl. Steven Jacob, toka Arusha, inafikirisha na kutafakarisha kiasi chake. Tazama na sikiliza👇🏻👇🏻👇 Kwa ufupi sana kwa wale wasio na vifurushi: 1. Mama Samia Suluhu Hassan (Rais wa sasa wa JMT) amekataliwa na Mungu - Jehovah, hatakiwi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Upinzani hasa CHADEMA toeni neno kuhusiana na matamshi ya huyu kijana wa UVCCM Bokoba, haya siyo ya kudharau

    Amesema watawapoteza wanaomtukana Samia. Kutukana huwezi kujua yeye anamaanisha nini! Hata kumkosoa Samia kwa akili za watu kama hawa na matamshi kama haya, watasema ni matusi. Na as long as wana vyombo vya ukandamizaji msidharau kauli hizi.
  20. JamiiForums Tanzania Upinzani anzeni kuibua hoja na sera mbadala za kulikomboa taifa, acha kudandia na kuongelea upuuzi wa wana CCM

    Hivi upinzani umeishiwa kabisa hoja na sera za kuwasemea wananchi na taifa letu kwa ujumla mpaka wadandie mabaya na matusi ya wana CCM? Tunafaidika nini sisi wananchi kwa kutukanana wana CCM? Taifa letu litapataje maendeleo kwa kujadili matusi wanayotukanana wana CCM? Kwani kuna jipya lipi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…