upinzani

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuepuka fedheha ya kushindwa vibaya kwenye Uchaguzi Mkuu ujao unamshauri kiongozi gani wa upinzani, busara imuelekeze kutokuthubutu kugombea Urais?

    ili walau kiongozi huyo abaki na heshima aliyonayo hivi sasa aliyoijenga kwa muda mrefu sana, lakini pia kuepuka kufilisika uzeeni maana uchaguzi ni gharama sana. lakini pia kuepuka kuaibisha ndugu, jamaa, marafiki na chama husika kwa kushindwa vibaya kwa fedhaha uchaguzi ujao. na zaidi sana...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Breaking News Kiongozi Mkuu upinzani Lebanon ataka Hezbollah wapokonywe silaha kuepusha majanga zaidi, magaidi hawezi ishinda Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kutokea Lebanon Wenye nchi yao sasa wamecharuka wanataka Hezbollah wafurushwe nchini mwao na Serikali yao iwe na mamlaka kamili ya kutawala Kwa nchi yote ya Lebanon Madhara ya Hezbollah kuendesha shughuli zao ni makubwa sana hivyo ni wakati muafaka kikundi...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ikiweka mgombea yoyote itashinda kiti cha Urais, uchaguzi kufanyika ni kuweka ushahidi wa zoezi kwani tume ya uchaguzi na katiba vinawabeba wao

    Nimeona harakati za watu kujitangaza kwamba watagombea urais, nachoweza kuwaambia ni kwamba kwa tume hii ya uchaguzi na katiba hii iliyozeeka! CCM inahitaji tu mgombea wa aina yoyote kama ushahidi kwamba tulifanya kampeni! Lakini ni kutupotezea tu rasilimali pesa kuingiza team kufanya kampeni...
  4. JamiiForums Tanzania Kama Viongozi wa Chama Cha Upinzani wenyewe ndo hawa akina NTOBI.. CCM kutoka Madarakani sio rahisi

    Huyu ni kiongozi wa CHADEMA anaeneza uzushi ambao sijui lengolake ni lipi NTOBI @Ntobi_ · 14h Kumekucha! Air Tanganyika
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna kila dalili uchaguzi mkuu 2025 Upinzani ukikazana unachukua, je Mwenyekiti Mbowe ataruhusu hili?

    2025 , kuna dalili nyingi sana ambazo zinaonesha kuna uwezekano wa Upinzani kuchukua dola . Kuna dalili 2025 kuna wana CCM kindaki ndaki wataihujumu CCM Kuna dalili 2025 vyombo vya dola vikawa upande wa wananchi Kuna dalili Asilimia kubwa ya wapiga kura wakawa vijana Lakini sio siri CHADEMA...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Si kwamba vyama vya upinzani ni bora zaidi, lakini ni muhimu Watanzania kuiondoa CCM madarakani to teach the Police a lesson

    Watu wengi wamekuwa wakivitazama vyama vya upinzani katika mtazamo wa kuwa mbadala wa CCM katika uongozi, na wengi wanasema kwamba bado havijakomaa kuongoza nchi, jambo ambalo siku zote nasema, tulipopata uhuru TANU haikuwa imekomaa kuongoza nchi. Sasa mimi naona kama imefikia mahali jeshi la...
  7. JamiiForums Tanzania Je, maridhiano ya Mbowe na Ikulu ndo yanaitesa CHADEMA na upinzani kwa ujumla?

    Maridhiano ya Mbowe na Ikulu yana jambo ambalo wengi ulibeza Ila yamesaidia sana CCM kutawala kwa ujanja tena bila kufuata sheria na taratibu kadhaa Kama Katiba inavyotamka! Na kuna swali “Je kutolewa mbowe Gerezani wakati ushindi wa Kesi ulikuwa unaelekea kuwa kwa upande wake waka m time...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Lissu umeutumikia upinzani na kumwaga damu yako kwa gharama kubwa, upinzani uliokoa maisha yako, kulikoni?

    Kusema ukweli sitegemei Lissu atoe kauli alizozitoa kuwa CHADEMA siyo mama yake, ni kweli wote tunafahamu hivyo lakini angalia historia yako kwenye upinzani, na hadi ulipopigwa risasi. Nadhani hakuna aliyeteseka na kupigania haki za watanzania kama wewe. Safari ya mapambano ni ndefu na ngumu...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa hivi mbona ACT na vyama vingine vya upinzani hatusikii kelele za Rushwa, viko safi.

    Nimemsikiliza Lissu akilalamika kuhusu Rushwa kwenye chama chake cha Chadema,kauli hii imenifanya nitafakari sana kuhusu uwepo wa rushwa vyama vingine vya upinzani.Hali ikoje? Tujadili ili tupate chama bora.
  10. JamiiForums Tanzania Iko haja ya upinzani nchini kubadilika mtindo na falsafa ya ushawishi kutoka kulalamika tu, hadi kuja na fikra mpya na mipango mbadala ya maendeleo

    Kulalamika na kulaumu pekee ni mbinu ya kisiasa inayotumiwa na waupinzani nchini, isiyo na tija na iliyopitwa na wakati. Haijawahi kuwa na msaada wala manufaa yoyote kwa vyama vyao wala kuleta mabadilko yoyote kwa wananchi... Falsafa hii inawadumaza zaidi tu na kuwaacha wadumavu mara dufu...
  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 Hatma ya Demokrasia Tanzania: Madhara ya Tamisemi Kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Hatua Muhimu kwa Serikali na Upinzani

    Katika mfumo wa kidemokrasia, uchaguzi huru na wa haki ni kiini cha utawala bora na uwajibikaji. Katika muktadha wa Tanzania, uchaguzi wa serikali za mitaa una nafasi muhimu katika kuwezesha ushiriki wa wananchi katika mchakato wa maamuzi na kusimamia maendeleo katika ngazi za chini. Hata hivyo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunahitaji chama kipya cha upinzani

    Hakuna ubishi ya kwamba watanzania wanajitaji chama cha kuweza kuwa na sera mmbadala dhidi ya chama tawala. Hata hivyo ,vyama vilivyopo vimekosa kukubalika kwa watanzania walio wengi kutokana na yafuatayo: 1: Act Wazalendo ,wako zaidi Tanzania Visiwani 2: Chadema kimenenea baadhi ya mikoa...
  13. JamiiForums Tanzania CCM kudai kuwa vyama vya upinzani bado havijawa tayari kukabidhiwa nchi, ni uzalendo au ubinafsi?

    1. Kwani TANU ilikuwa tayari kukabidhiwa nchi na Wazungu hasa ikizingatiwa kuwa ilikuwa ikiongozwa na "kijana" wa miaka thelathini na nane tu? Mbona aliweza kuiongoza kwa "mafanikio" makubwa? 2. Kwa kusema vyama vingine havijawa tayari, kunamaanisha nchi haina mifumo imara ya kiuongozi hadi...
  14. JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee ambako Vyama vvya Upinzani husakamwa kuliko chama kinachotawala. wanahamisha nguzo za goli

    Hii nchi iko hapa ilipo kwa sababu ya Wakusanya kodi wa hii nchi, chini ya CCM. hawa ndio wanafanya maisha yawe magumu sana. Hawa wakusanya kodi ndio wanao dalalia nchi kwa Waarabu na Wazungu na sio Wapinzani. Hawa ndio wanao chota pesa BOT, na kwingineko. Wakusanya Kodi ndio wanao sabanisha...
  15. JamiiForums Tanzania Upinzani haukubaliki kabisa vijijini

    unadhani ni zipi hasa sababu za msingi za kutokukubalika na kuaminika kwa upinzani vijijini? kwa ujumla wanapuuzwa sana vijijini, kwa mfano jimboni kwangu hawapo kabisa. sidhani kama wanaweza kupata hata mwenyekiti moja wa kijiji. . aliwahi kuwapo shoe shiner moja hapa ambae ndie alikua...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Taarifa za kuwepo kwa uchakachuaji matokeo zinaweza kuwa na lengo la kuwakatisha tamaa waliopanga kupiga kura kwa upinzani

    Kila kitu kichachofanywa na wanasiasa mara nyingi huwa kinakuwa na sababu nyuma yake, tayari kinakuwa kishapigiwa hesabu kuona nini faida yake na hasara yake. Kauli au taarifa za kuwepo kwa uchakachuzi wa matokeo ya uchaguzi, au wizi wa kura huemda ni moja ya mbinu ya kupunguza idadi ya wapiga...
  17. JamiiForums Tanzania Magufuli: Matatizo hayakimbiwi, matatizo ni kukabiliana nayo

    Hayati Magufuli alishindwa vumilia kudharauliwa, na hii ndio sababu kubwa Upinzani hauku ingia bungeni 2020 , inasemekana hivyo . Muwe na siku njema
  18. JamiiForums Tanzania Siku itafika ACT wazalendo itakua chama cha kwanza upinzani kuchukua madaraka na Zitto Zuberi Kabwe atakua Rais wa Nchi Hii.

    Salaam wakuu. KENGE!!"Nalipanda Jukwaa kwa bashasha.Mkononi karatasi na Bahasha.Wala sio Warsha,Ni tathmini za Maisha" Nitangulize kwa kuweka bayana Mimi sio mdau wa Siasa sana,Sina Chama wala uchawa,Urafiki na Kiongozi yoyote aifha wa upinzani wala Chama chochote. Baada ya Tathmini za Muda...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Mbowe ni dhaifu, anashindwaje kesi na wanawake 19 na kumfukuza Lissu anayedai CHADEMA kimepokea hela chafu!

    Katibu Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM, CPA. Amos Makala amesema Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kama alishindwa kumfukuza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu @TunduALissu hana ujasiri hivyo asiwaaminishe watanzania kuwa kuna ujasiri wanapaswa kuwa nao. Akizungumza katika mkutano...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ina wafuasi, wakereketwa na wapiga kura wengi zaidi ndani ya vyama vya upinzani nchini

    Kwa kuthibitisha hilo tazama yanapofanyika vikao au press conference za mabadiliko ya viongozi ndani ya CCM au ndani ya serikali sikivu ya CCM au vinapofanyika vikao vya kamati kuu ya CCM. Yaani, macho, maskio na shauku kubwa mno ya wana ccm, vyama vya upinzani, wananchi na waTanzania kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…