upinzani afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Changamoto ya Vyama vya Upinzani Afrika ya Mashariki

  2. JamiiForums Tanzania Ado: Kuwa mwanasiasa wa upinzani nchi nyingi Afrika ni kujiingiza kwenye misukosuko

    Mbunge wa Tunduru Kaskazini na Katibu mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumza na waandishi wa habari, amesema katika vitu ambavyo haogopi ni kupata misukosuko ya kisiasa kwa hofu hiyo aliitoa alipoamua kuwa mwanasiasa wa upinzani. Ameongeza kuwa, kwa nchi nyingi za Afrika...
  3. JamiiForums Tanzania NGOs na vyama vya siasa vya upinzani Afrika ni watengeneza maudhui katika karne hii

    "Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) na vyama vya siasa vya upinzani barani Afrika katika karne hii, vinaendeshwa kwa ushabiki na kiki nyingi kupita kiasi. Kuna mambo wanayoyafanya hadi unajiuliza iwapo watu hawa wamepoteza uwezo wa kufikiri, au tatizo ni kukosa ajenda madhubuti za maendeleo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Watawala mmejisahau, tafadhali rudisheni visu vyenu katika ala zenu, hamuitakii mema nchi hii

    Nawakumbusha kitu kimoja tu, and this is very important. Hata hao mnaojivunia , kuna wengi wao hawapendi haya maonevu yanayoendelea. Naomba sana malaika awatokee mbadilike.....ukiangalia Aljazeera ukaona sufferings zinazoendelea dunia ya waarabu, especially Gaza, si vizuri kuendeleza haya...
  5. JamiiForums Tanzania Haya mambo utayapata Africa tu Tamaa za madaraka wananchi wa tunisia waandama dhidi ya serikali kwa kukandamiza upinzani

    Haya mambo utayapata africa tu Tamaa za madaraka wananchi wa tunisia waandama dhidi ya serikali kwa kukandamiza upinzani. Haya mambo kama huelewi ndio anayofanya samira watu wamehamasisha uwepo wa haki kwenye taifa wanaitwa waahini, watu wameenda mahakamani wanaitwa wafanya vurugu, watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…