upendo nkone

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Upendo Nkone amuomba msahama Martha Mwaipaja

    Mwimbaji wa Nyimbo za Injili, Upendo Nkone, amemuomba radhi Mwimbaji mwenzake Martha Mwaipaja kufuatia kauli aliyoitoa kwenye moja ya mahojiano, akidai kuwa aliwahi kutishiwa Maisha kupitia simu. Sakata hilo limeibuka leo katika mitandao ya kijamii, baada ya Martha Mwaipaja kuchapisha video...
  2. Bi zandile

    Upendo Nkone: Mayai ya kisasa yanaongeza matiti kwa wanaume

    Muimbaji wa nyimbo za Injili, Upendo Nkone, ametoa angalizo kwa wazazi kuhusu ulaji wa mayai ya kuku wa kisasa kwa kudai kuwa yanaongeza ukuaji wa matiti kwa watoto wa kiume. Muimbaji huyo aliandika ujumbe huo kupitia akaunti yake ya Instagram akisema..''Jamani wazazi natoa ushauri tuu kwamba...
  3. nashukuru mzima

    Nani anayejua historia ya Upendo Nkone?

    Habari. Leo nimekuwa nikisikiliza nyimbo za huyu Dada kiukweli nimevutiwa nazo na nimezipenda Sana . Nani mwenye ufahamu wa maisha yake nje na muziki.
Back
Top Bottom