upendeleo kwa zanzibar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChekoFagia

    Kumbukizi: Rais Samia aliwahi kusema Ajira za Undugu, Urafiki na upendeleo zinaharibu taasisi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aliwahi kusisitiza kwamba viongozi wanapaswa kuacha tabia ya kuwaajiri watu kwa misingi ya kufahamiana iwe ni ndugu, rafiki au upendeleo wa aina yoyote kwani hatua hizo zinaharibu na kudhoofisha taasisi za umma. Kauli hiyo aliitoa...
  2. Khalfan Omari Missima

    Nchi hii sasa kila kitu Zanzibar

    Kwa nionavyo mimi nchi yetu inako elekea ni kubaya sana. Nasema hivi kwa sababu katika utawala huu unao jiita awamu ya sita bila ilani ya awamu hiyo, imeifanya nchi kuonekana inafanya promo ya upande mmoja wa muungano kuliko upande mwingine, kwa sasa ni jambo la kawaida kwa vyombo vyetu vikubwa...
Back
Top Bottom