uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Lissu aonyeshe Uongozi katika suala la akina Halima Mdee na Wenzake,aachane na hayo mambo yake

    Nimemuona Lissu anawashambulia sana akina Halima Mdee na wenzake badala ya kutengeneza Mazingira rafiki ya kurudisha wale Viongozi ambao CHADEMA imetumia muda wake mwingi kuwaandaa, na hasa ukichukulia toka wameisaliti hawajawahi kuisema vibaya Taasisi wala Viongozi wao. Uongozi siyo Sheria tu...
  2. F

    Kuna umuhimu kwa CHADEMA kufanya matembezi ya mshikamano nchi nzima kuunga mkono uongozi mpya na demokrasia ndani ya chama

    Mabalishano ya uongozi yaliyotokea hivi karibuni CHADEMA yamepokelewa vizuri sana na wapenda demokrasia ndani na nje ya nchi. Kuna umuhimu kwa wanachama wa CHADEMA na wapenda demokrasia wote kupongeza juhudi hizi kwa njia iliyotukuka kupitia matembezi ya mshikamano nchi nzima.
  3. F

    Nashauri CHADEMA tufanye matembezi ya mshikamano kuunga mkono chama na uongozi mpya

    CHADEMA tumefanikiwa kuvuka mtihani mgumu wa uchaguzi mkuu na kufanya mabadiliko ya safu za uongozi kwa mafanikio makubwa huku kikibaki kuwa chama chenye umoja na mfano wa kuigwa wa demokrasia nchini. Nashauri uongozi wa CHADEMA katika siku moja yafanyike matembezi ya mshikamano kila mkoa...
  4. M

    Majukumu ya nyumbani sio kikwazo tena kwa Wanawake kugombea uongozi

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizoridhia mikataba mbali mbali ya Kikanda na Kimataifa ya kuondoa aina zote za ubaguzi dhidi ya Wanawake, kama mkataba wa Cedaw ambao umeanzishwa mwaka 1987 na kuheshimu haki za Wanawake kama Haki za Binaadamu. Licha ya kuwa Katiba ya nchi inatambua haki za raia...
  5. “Klabu ya Uzalendo: Daraja la Kuimarisha Maadili, Mshikamano, na Uongozi wa Kesho”

    Ndugu wanajamii, Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya Taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi kinachothamini maadili, mshikamano, na uwajibikaji kwa maendeleo ya jamii. Kutokana na hali hii...
  6. Klabu ya Uzalendo: Daraja la Kuimarisha Maadili, Mshikamano, na Uongozi wa Kesho

    Ndugu wanajamii, Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi kinachothamini maadili, mshikamano, na uwajibikaji kwa maendeleo ya jamii. Kutokana na hali hii...
  7. Kanisa Katoliki na Ujenzi wa Uongozi wa Kitaifa kupitia Elimu ya Seminari

    Katika kila jamii inayokusudia maendeleo endelevu, uongozi wa kweli ni nguzo muhimu. Kanisa Katoliki, kupitia shule zake za seminari, limekuwa mstari wa mbele katika kuandaa vijana kuwa viongozi bora wa taifa. Seminari sio tu ni shule za kiroho, bali pia ni vyuo vinavyolea viongozi wa kitaifa...
  8. L

    TANZANIA: Siasa, Uongozi na Utawala

    Hiki ni kitabu kinachohusu Historia ya Tanzania: Siasa, Uongozi na Utawala. Hiki sio kitabu cha kukosa, kina madini ya kutosha. Kwa watakaohitaji wawasiliane na mwandishi kwa namba 0686396946 na utatumiwa popote ulipo.
  9. PhDs zinapishana tu uongozi CCM

    Nakipenda Chama Changu kwa kuheshimu Elimu. Fikiria ni mwendo wa PhD kupokezana vijiti kasoro Namungo Express
  10. Kiasili na kisheria, uchaguzi ni gharama. Ni muhimu sana wagombea uongozi wa CHADEMA kutumia fedha ipasavyo bila rushwa wala hofu ili kushinda uchaguz

    Nimeona nakuskia watu mbalimbali mitandaoni na kwenye vyombo vya habari wakipiga wayowe na kulalamika ati mgombea uongozi Fulani wa uongozi chadema Taifa ametenga kiasi fulani cha fedha kwaajili ya uchaguzi. Nikashangaa na kucheka sana, kwamba mpaka karne hii ya sayansi na teknolijia kuna watu...
  11. Hivi wagombea uongozi wa chadema ngazi ya taifa wana misimamo ipi na mikakati gani kuhusu suala la kupambana na kutokomeza ushoga nchini Tanzania?

    Maana wathirika wakubwa wa fedheha hii ni pmoja na watoto wao, ndugu, jamaa, marafiki, wanachama wa chadema wafuasi wa chadema na waTanzania kwa ujumla.. Je, ni ipi hasa mipango mikakati yao katika kukabiliana na ufirauni huo, ikiwa watapata fursa ya kuiongoza chadema Taifa? au itakua ni aibu...
  12. Tanzania yashika nafasi ya Kwanza Afrika kwa Utalii, Ushindi wa Uongozi wa Rais Samia

    Tanzania imetangazwa kuwa nchi bora zaidi ya kutembelea barani Afrika kwa mwaka 2025, kulingana na ripoti ya U.S. News, ushindi huu mkubwa unaonesha wazi matunda ya uongozi mahiri wa Rais Samia Suluhu Hassan. Tangu aingie madarakani, Rais Samia amekuwa mstari wa mbele katika kuimarisha sekta ya...
  13. CHADEMA bado haijakomaa kidemokrasia, mioyo na fikra za baadhi ya wagombea uongozi wa kitaifa

    Ni wazi ukomavu wa kisiasa na kidemokrasia ndani chama cha demokrasia na maendeleo chadema, miongoni mwa wanaogombea uongozi wa kitaifa, wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa wanachama na mashabiki bado haijapevuka vizuri mioyoni na kwenye fikra zao. Shari inayombatana na masharti juu ya...
  14. PreGE2025 Kuna vita ya chinichini inaendelea dhidi ya viongozi wa dini wanaokosoa Serikali

    Kwanini wanapotosha, kwanini hakuna anayeweka uthibitisho wa video habari hii ya madai kuwa Tundu Lissu amethibitisha Padre Dkt. Charles Kitima kushiriki vikao vya siri vya CHADEMA? Katika video ya mahojiano na Waandishi wa Habari pale Uwanja wa Ndege hakuna mahali Lissu amemtaja Kitima lakini...
  15. W

    PreGE2025 Mbowe: Si kweli kuwa Chadema hakuna ukomo wa uongozi

    "Kwanza nizungumze kitu kinachoitwa ukomo wa madaraka, ndani ya taasisi ya Chadema na ujue Chadema ni chama cha siasa ni kundi la watu ambapo ukijunga na chama chetu kama ambavyo ungejiunga na chama kingine chochote kitu cha kwanza unakubalina na katiba ya chama," "chama chetu kimeweka ukomo wa...
  16. W

    Dkt. Biteko ataka Uongozi wa Call centre ya TANESCO ufumuliwe

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amekerwa na utendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) akitoa maagizo uongozi wa kituo cha miito ya simu (call centre) ufumuliwe. Maagizo ya Dk Biteko kwa Tenesco ni kufuatia kutotekelezwa kwa maagizo yake ya aliyoyatoa mwaka jana ya...
  17. Kuna mgombea uongozi wa CHADEMA ngazi ya Taifa anaweza kuenguliwa kabla ya Uchaguzi asipojirekebisha

    Kwakua tayari inasemekana amejiandaa kwa hali hiyo endapo hilo litatokea, na kwamba anayo destination mpya ya uhakika ya kufanikisha malengo yake. Kwa makusudi, mgombea huyo anasema na kutenda kinyume na katiba ya chadema ili tu achukuliwe hatua, halafu kisha afanye mass defections aloipanga na...
  18. Nina mawazo tofauti sana na ninyi nyote juu ya hii saga ya Mbowe/ Lissu na uongozi ndani ya CHADEMA

    Heshima kwenu Wakuu, Nimetafakari kama raia wa kawaida tu, na raia namba 53,398,487 wa Jamhuri yetu. Kuna hii saga au mvutano unaoendelea ndani ya Chadema katika madhira ya kugombea uongozi baina ya timu ya Mwenyekiti wa sasa Ndugu FREEMAN AIKAEL MBOWE (STU) na Makamu wake Ndugu TUNDU ANTIPAS...
  19. Mambo sio mazuri DRFA, uongozi wa Lameck Nyambaya haijatulia

    BUNDI anaelekea kulia katika Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) kwa sababu Mwenyekiti wa chama hicho, Lameck Nyambaya kubananga katiba yake. Tangu achaguliwe kushika wadhifa huo kwenye uchaguzi uliofanyika karibu miezi minne, Nyambaya hajaitisha kikao cha XCom ambacho kingefanikisha...
  20. R

    Republican, Democrats (USA), Conservative, Liberal na Liberal Democrats (Uingereza) havina ukomo wa uongozi sawa na Chadema

    Huko tulikoiga siasa hizi za vyama vingi huo ndio utaratibu wao. na wana sababu za msingi. Sababu hizo bado zina mashiko kwa Chadema. Msikilize Ansbert ngurumo https://www.youtube.com/watch?v=rL5qDn_RctU
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…