MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI HAFLA YA KUSIMIKWA KWA UONGOZI MPYA WA BARAZA LA MAKANISA YA PENTEKOSTE TANZANIA
▪️ASISITIZA VIONGOZI WA DINI KUMUOMBEA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA TAIFA KWA UJUMLA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema...
Na kwamba uongozi ni kuonesha njia na sio kuwachochea chuki na fujo wanachama dhidi ya wenye maoni tofauti na yao, uongozi sio kukiuka sheria kwa kuropoka, kuwatapeliwa wanachama pesa zao au kuwarubuni na kuwalaghai wanachama wanaowaongoza uhuru na haki zao za kikatiba kama vile kushiriki...
Moja ya zawadi kubwa aliyotupa Mungu Watanzania mwaka huu 2025 ni kumteua Tundu Antipass Lissu kuwa Mwenyekiti wa Chadema.
Kuchaguliwa kwa Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti wa Chadema kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki ulioshuhudiwa na Watanzania wote kupitia vyombo vya habari kulihitimisha rasmi siasa...
Uongozi uliopita uliipatia fursa CCM kutumia propaganda zake chafu dhidi ya Chadema kwa kuiita mara chagadema, mara saccos na mara chama cha manyumbu!
Kwa namna hiyo chama cha majizi (CCM) kiliweza kuwashawishi baadhi ya wazalendo kusita kuhusishwa na Chadema, kuogopa kukiunga mkono na hata...
Ni wazi wanachadema wengi mno watajiengua Chadema na kujiunga na vyama vingine vya kisiasa nchini kwakua Chadema haina tena sifa za kua chama cha siasa kinachoweza kuvutia wanachama zaidi, kwani kimejikita zaidi kuomba kuchangiwa pesa za matumizi ya viongozi na kujiondoa kabisa kwenye michakato...
Sote ni mashuhuda kwamba tangu uongozi mpya kuchaguliwa, Chadema imekua ikiendeshwa kwa matamko na press conferences ambazo kimsingi nyingi zililenga kuomba kuchangiwa pesa za matumizi ya viongozi wa chama wasio na ajira, waliojificha nyuma ya kuomba kuchangiwa pesa kwaajili ya matumizi ya...
Tangu uongozi mpya wa chadema kushika hatamu, pamekuwepo na muendelezo wa uhasama wenye sura ya visasi na kushughulikiana kisiasa, ambao pia ulijidhihirisha kwenye kampeni za uchaguzi wao wa ndani..
Kwa maoni yako kama mdau wa siasa za Tanzania, unadhani ni nani hasa ndie mchochezi wa...
Hakuna kilichobadilika, hakuna kipya kilichoanzishwa cha maana, hakuna kinachofanikiwa miongoni mwa wanavyojaribu kuvipush.
no reform no elections umepuuzwa na inapingwa mpaka na viongozi waandamizi wa chadema yenyewe.
mchongo pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone kitaifa umekgomewa na...
Body languages, tones na facial expressions za viongozi waandamizi wa chadema hususani wa kamati kuu, zinaonyesha kabisa bado kuna migawanyiko na uhasama ndani ya chadema.
Lakini pia jana pale Ikungi Singida tumeshuhudia kwa uwazi zaidi kwamba umoja ni changamoto ndani ya uongozi mpya wa...
Mabalishano ya uongozi yaliyotokea hivi karibuni CHADEMA yamepokelewa vizuri sana na wapenda demokrasia ndani na nje ya nchi.
Kuna umuhimu kwa wanachama wa CHADEMA na wapenda demokrasia wote kupongeza juhudi hizi kwa njia iliyotukuka kupitia matembezi ya mshikamano nchi nzima.
CHADEMA tumefanikiwa kuvuka mtihani mgumu wa uchaguzi mkuu na kufanya mabadiliko ya safu za uongozi kwa mafanikio makubwa huku kikibaki kuwa chama chenye umoja na mfano wa kuigwa wa demokrasia nchini.
Nashauri uongozi wa CHADEMA katika siku moja yafanyike matembezi ya mshikamano kila mkoa...
Uchaguzi Mkuu wa Bavicha ndio tukio kuu kwa siku ya leo, ambapo vijana wa CHADEMA kutoka sehemu mbalimbali wanakutana kuamua viongozi watakaoongoza Baraza hilo kwa kipindi kijacho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.