WAFANYAKAZI WA KIWANDA CHA VIUADUDU WA KUTOKOMEZA VILUILUI WA MBU, WALALAMIKA KUKOSA MISHAHARA KWA TAKRIBANI MIEZI MITANO SASA.
Wafanyakazi wa Kiwanda cha kutengenze viuadudu(biolarvicide) kwa ajili ya kuangamiza viluilui wa mbu kilichopo Kibaha mkoani Pwani na kinachomilikiwa na serikali kwa...