union

The UNION of European Practitioners in Intellectual Property, or UNION-IP, is a European association of practitioners in the field of intellectual property. It was founded in 1961 under the name was "UNION of European Patent Attorneys".

View More On Wikipedia.org
  1. Paul Makonda awakabidhi Arusha timu ya Coastal Union ya Tanga

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ametangaza rasmi kuwa timu ya Coastal Union ya Tanga, maarufu kama "Wagosi wa Kaya," sasa itaanza kutumia Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kama uwanja wake wa nyumbani. Hatua hii inalenga kukuza mchezo wa soka mkoani Arusha, huku pia ikileta manufaa makubwa...
  2. SIMBA PLAYERS RATINGS VS COASTAL UNION 04.10.2024

    1.Mussa Camara Siku mbaya kazini ngumu kumtenga na lawama za goli la 2 la coastal union pengine itampa funzo flani 4/10 2.Shomari Kapombe Perfomance nzuri kwake hakuwa na baya kubwa ingawa goli la pili lilipitia upande wake huenda angekuwa kwenye nafasi yake angesaidia kuleta presha kwa...
  3. Simba wakubali yaishe kwa Lameck Lawi, aanza kwenye kikosi cha Coastal Union dhidi ya Mashujaa FC

    Beki wa kati, Lameck Elias Lawi, ameanza rasmi leo katika kikosi cha Coastal Union kinachocheza dhidi ya Mashujaa FC, mechi ya ligi kwenye uwanja wa KMC Complex. Lawi amejiunga na Coastal Union baada ya majadiliano ya muda mrefu kati ya Simba Sports Club na Coastal Union, ambapo Simba ilikubali...
  4. D

    Mh Samia has vowed that by hooks and crooks the Union must break up before she leaves power and implementation is on going.

    We all know no any Zanzibaris likes this union even the president herself and therefore it is the golden chance for a zanzibari to be president so as to accomplish their dreams. Already they have shown signs by presenting their own flag and shield at the China summit alongside with Tanzania...
  5. L

    Nawaomba watanzania tukaiunge mkono Coastal Union leo ikipindua meza

    Karata kwa Tanzania zimebaki kwa timu tatu baada ya Azam kuondolewa mashindanoni jana, niliwahi kuelezea hapa namna mashabiki walivyo na nguvu lakini sikueleweka wajuaji wakaniponda sana, APR kule kwao walilazimika kuingiza bure wanafunzi kwa kuwataka wawe na kitambulisho cha shule ndio unaingia...
  6. Matokeo ya Costal Union hamjayaona?

    Ukimya huu una maanisha nini?? Hakuna hata ushauri au mnasubiri SIMBA, YANGA na AZAM tu?
  7. D

    Coastal union inaenda CAF confederation hata pasi tano kupiga kwa pamoja haiwezi, noma sana

    Today I just watched the worst match among top teams in Tanzania. Coastal Union can't coordinate 5 passes, and today it's going to CAF. And do what? Singida or KMC could have done a better job. This is probably the worst team to go for CAF Confederation in Tanzania in recent years. TFF should...
  8. Coastal Union 2-5 Azam FC | Ngao ya Jamii | Aman Complex | 8/8/2024

    Mkeka wako unampa nani kati ya Azam na Coastal? Timu ya AzamFC imefanikiwa kuingia Fainali ya Ngao ya Jamii kwa kuifunga #CoastalUnion kwa magoli 4-2 katika Nusu Fainali ilivyochezwa Uwanja wa Amaan. Kutokana na ushindi huo, Azam FC itacheza fainali ya Ngao kwa kukipiga na timu itakayoshinda...
  9. Lameck lawi alisainiwa na simba akatambulishwa ila yupo kambini na coastal union

    Simba iltambulisha kwa bashasha na furaha kubwa kwamba wamemsajili lameck lawi coastal union wakasema simba hawakufuata utaratibu kwa hiyo deal lilikufa simba wakaaminisha washabiki wao kwamba tayari ni mchezaji wao wasio na hofu Ajabu lameck lawi yupo kambini tanga na coastal union kwa ajili ya...
  10. Simba wameingia cha kike coastal union mangushi wana wali ng'ombe hawajawahi kushindwa kesi ya usajili!

    Simba wajipange kama wamefanya ujanja ujanja kutaka kutangaza mke kabla ya kumlipia mahari wala kutambulika rasmi,tangu dahali na dahali coastal union hawajawahi shindwa kesi wamuulize Aden Rage aliwahi kuifungia na kusema ameifuta kwenye kwenye vitabu vy FAT.kama wamejipanga waende watakako...
  11. D

    coastal union wamesema awaja muuza lameck lawi, simba wame sign lawi gani??

  12. FT: Federation Cup: Azam FC 3 - 0 Coastal Union | 18 May 2024 | CCM Kirumba Stadium

    Tumeanza mechi. Kikosi cha Azam FC kinachoanza Kikosi cha Coastal Union kinachoanza Dakika ya 41 Azam wamepata penalty... Gooooal - Sopu
  13. Je Coastal Union akishika nafasi ya nne ataenda kombe la shirikisho?

    Wakuu naomba kufahamu, Je iwapo Coastal Union akabaki kwenye nafasi ya nne ligi kuu ataenda kushiriki kombe la shirikisho Africa? Je bingwa wa CRDB Confederation akiwa Azam au Coastal ataenda club bingwa au shirikisho? Na je Yanga kama bingwa wa ligi kuu na akawa wa bingwa wa shirikisho...
  14. Coastal Union Fc wakipambana wanaweza kushika nafasi ya tatu

    Kwa mwenendo wa Ligi ambayo bado mbichi, endapo coastal union wakiongeza juhudi hakika wanaweza kushika nafasi ya tatu.KMC nao sio wabaya, Nafasi ya nne pia iko wazi kwao.Wapambane
  15. FT: Yanga 1 - 0 Coastal Union | NBC Premier League | Azam Complex | 27. 04. 2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡ πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Yanga πŸ†š Coastal Union πŸ“† 27.04.2024 🏟 Azam Complex - Chamanzi πŸ•– 12:00 Jioni. Tukutane hapa kwa updates #Daimambelenyumamwiko# Kikosi cha Yanga kinachoanza. Kikosi cha Coast Union Kinachoanza Updates... 1' Yanga wanafanya Shambulizi kali, Guede anakosa...
  16. African Union Vacancy - English Interpreter/Translator

    African Union Vacancy – English Interpreter/Translator African Union Vacancy – English Interpreter/Translator African Union (AU) Arusha Location: Tanzania Organization: African Union AU Values Respect for Diversity and Team Work Think Africa Above all Transparency and Accountability...
  17. Kitu kilichoipelekea Soviet union hadi ilivyoanguka

    Habari Ya muda huu JF Unajua nini kiliiepelekea soviet Union kuanguaka fuatana na mimi. SOVIET UNION ILIVYOANGUKA- UADUI NA MAREKANI: Wengi mmesoma au mnakumbuka miaka ile ya vita baridi kati ya USA(Marekani) na Soviet Union(Urusi) na kuletea hali ya kuwa na wasiwasi pengine vita ya 3 ya dunia...
  18. FT: Coastal Union 1-2 Simba SC | NBC Premier League| Mkwakwani Stadium| March 09, 2024

    Leo 09.03.2024 Muda wa Saa 12 Jioni. Coastal Union ya Tanga, Inaikaribisha Simba SC ya Dar es salaam katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara. Simba huu ni mchezo wake wa 17, ikiwa na Alama 36. Nafasi ya Tatu(03) katika msimamo. Coastal Union huu ni mchezo wake wa 20, Alama 27, Nafasi ya Nne...
  19. FT: Azam 1-1 Coastal Union

    Bora wote tupoteze
  20. Picha: Sanamu ya Nyerere Makao Makuu Umoja wa Afrika, ni yeye au lah?

    Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa kwa ajili ya kutambua mchango wake katika masuala ya ukombozi Barani Afrika tarehe 18 Februari, 2024. Ikumbukwe kuwa katika uzinduzi wa hifadhi ya Burigi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…