unajua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Si unajua ni rahisi kumtawala masikini

    Wengi tunadhani maskini ni mtu pekee aliyekosa mahitaji muhim. Lakini ukweli ni zaidi ya hapo. Unajua hizi pia ni sifa za masikini? 1/kushindwa “kufikiria” uzalishaji mali. 2/uvivu 3/kuridhika na ulichonacho 4/kushindwa kua tofauti na wengine. 5/kushindwa kuishi mbali na mazingira hatarishi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya "Unanijua mimi ni nani?" imerudi

    Siipendi hii kauli narudia tena siipendi hii kauli Ni wazi sasa usemi huu umerudi kwa kasi ya ajabu. Unanijiua mimi ni nani ni kauli ilio ilio jizolea umaarufu sana kwenye tawala nyingi sana lakini si awamu ya tano (JPM alihakikisha mwenye cheo hamnyanyasi mwenye hana cheo) Kauli hii imekua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…