umri

Jalaluddin Umri (Born 1935) is a writer and a religious scholar. He was the Amir of Jamaat-e-Islami Hind from 2007-2019. Now Syed Sadatullah Husaini is elected as the Amir for the term of 2019 – 2023.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukitaka uishi maisha yenye furaha kwenye mahusiano...

    Kwanza hakikisha unatafta mwenza (well for men only) 1. Mpite miaka zaid ya 10 2. Elimu yake kibongo bongo awe La saba or form4 or six 3. Awe hana kazi inayoeleweka yaan wewe ndio mtaftie mchongo hapo mjini or else asiwe na kazi yoyote ile 4. Hakikisha anakusikiliza wewe kwa lolote yaani wewe...
  2. JamiiForums Tanzania Je, katika umri huu Morphology inaweza kuathirika?

    Miaka 40+ 1. Nalalia sana upande mmoja je kichwa kinaweza bonyea upande huo hata kidogo? 2. Wenye shughuli za kukaa muda mrefu je makalio yanaweza bonyea na kusababisha kuwa flat?hasa kwa wanawake. Sisi wanaume hatuyahitaji.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mke kwaajili ya staff mwenzangu

    Wasalaam, Watanzania wenzangu nakuja mbele yenu kwa ajili ya ombi hili la kumkuwadia (lobbying) kwa ajili ya huyu staff mwenzangu. Walioko mtandaoni ni wale wale walioko huko mtaani. Sifa za mtafuta mke 1. Miaka 35 2. Anaishi Dar es Salaam - Kigamboni 3. Ni muajiriwa katika Agency mojawapo ya...
  4. JamiiForums Tanzania Ku-date msichana aliye na umri kuanzia 27 na kuendelea raha sana, chini ya hapo stress mwanzo mwisho

    Habari za wakati huu, watu wangu wa nguvu hapa jukwaani, Jukwaa pendwa sana la MMU. Niwape pole ndugu na jamaa ambao siku yao imewamendea vibaya kwa namna moja au nyingine. Acha niende kwenye mada yangu, kwa sasa nina date mdada mmoja hivi yuko 28 hivi, huyu mdada anajitambua na pia anajua nini...
  5. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Kim Jong-Un mwenye umri wa miaka 13 ni Luten wa jeshi la wananchi Korea Kaskazini

    Unaambiwa Mtoto wa Kim Jong-Un, Kim Lau Jong-Un ambae kwa Sasa ana Umri wa Miaka 13 Ndie Luteni wa Jeshi la Nchi ya Korea Kaskazini. Aliapishwa Kuwa Luteni Mwaka 2017 akiwa na Umri wa Miaka 9,Mtoto huyo anaandaliwa Kuwa Mkuu wa Majeshi na Kiongozi wa Nchi hiyo Siku Baba yake Kim Jong-Un atakapo...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna vitu mwanadamu huvifanya kuendana na umri

    Miaka 8 mtoto anaanza kujitambua kama amependeza. Hapa ukimvalisha maroronya mnakwenda kwenye party anaweza kugoma kwenda. Hapa mzazi kuwa makini kuhakikisha mtoto ni msafi hii inamjengea kujiamini akiwa mbele ya wenzake. 11-12 wengine wanaingia puberty age, hapa anaanza kupenda kupendeza...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta Mwenza (Mke)

    Sifa zangu 1. Mkristo( dhehebu A.I.C) 2. Nina miaka 30 3. Mwenyeji kanda ya ziwa. 4. Elimu shahada ya kwanza (sijaajiriwa, nipo nashughulika na kilimo) 5. Urefu 165cm, rangi ni maji ya kunde. 6. Mpole sana kijana mwenye hofu ya Mungu. SIFA ZA MKE NINAYEMHITAJI 1. Umri miaka 20-25 2. Dini...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza umri wa Utegemezi kwa Wazazi kutoka miaka 18 hadi 21

    Rais Samia amesema kuanzia sasa umri wa mtoto atakayeruhusiwa kuwa mtegemezi kwa wazazi ambao ni wafanyakazi umeongezwa kutoka miaka 18 hadi 21. Hivyo mtoto wa miaka 21 atanufaika na marupurupu ya utegemezi kutoka kwa mzazi wake mathalani matibabu. Kazi Iendelee!
  9. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Baba hataki nimuoe binti kisa baba yake mkubwa alikuwa mwizi!

    Habarini za wakati huu mabibi na bwana wa JF.......! Mimi ni kijana wa kwanza kuzaliwa kwa wazazi wangu. Kwa sasa nina umri wa miaka 27, kama mjuavyo huo ni umri sahihi kabisa wa mimi kuwa na mwenza wa kusaidiana nae kulisongesha gurudumu la maisha...! Na mzee wangu amekua mastari wa mbele...
  10. U

    JamiiForums Tanzania MwanaMfalme Louis atimiza umri wa miaka 3, aanza Shule Rasmi

    The Duke and Duchess of Cambridge have released a new picture of Prince Louis to celebrate his third birthday and mark his first day at nursery school. The photograph was taken at Kensington Palace by the duchess, shortly before Louis set off for Willcocks Nursery School for the first time on...
  11. JamiiForums Tanzania Ajira TAMISEMi: Kwanini umri zaidi ya miaka 35 hawaruhusiwi?

    Tamisemi kushirikiana na Shirika la Benjamin William Mkapa wametangaza ajira za mda:sifa za muombaji asizidi miaka 35 ,je hawa wenye miaka 36 nakuendelea kuna sheria ipi inayofanya muwe na kigezo cha umri? Miaka 5 na miez 4 Watu wako mitaani sasa mnapokuja na kigezo cha umri mnamanisha nini?
  12. JamiiForums Tanzania Kati ya Watoto 100 wenye umri chini ya miaka mitano mkoani Pwani, Watoto 24 wana Udumavu na hii imetokana na familia zao kuwa duni

    KATI ya watoto 100 wenye umri chini ya miaka mitano mkoani Pwani,watoto 24 wana Udumavu na hii imetokana hasa na familia zao kuwa duni hivyo kushindwa kuinua uchumi wa familia hizo. Pamoja na hilo, hali ya usajili katika mfuko wa Bima ya afya ya jamii (CHF)hairidhishi ,hadi sasa ni kaya 10,038...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mdogo wangu: Alioa akiwa na umri wa miaka 23 sasa anamkataa mkewe akidai yeye bado mdogo

    Mdogo wangu umri miaka 23,mwaka jana tu alimuomba mzee na marafiki kumuandalia harusi ili aweze kuaga ukapera. Wazazi na marafiki wakafanya michango na kuandaa harusi kubwa tu na dogo akaoa. Mchumba wake wamesoma naye hadi kidato cha nne shule moja na hivyo wanafahamiana kila kitu. Miezi 6 tu...
  14. JamiiForums Tanzania New Mexico imekuwa Jimbo jipya kuhalalisha matumizi ya Bangi kwa Watu wenye umri wa miaka 21 na zaidi

    New Mexico imekuwa Jimbo jipya kuhalalisha matumizi ya Bangi kwa Watu wenye umri wa miaka 21 na zaidi baada ya Gavana Michelle Lujan Grisham kutia saini miswada miwili kuwa Sheria. Gavana Lujan Grisham amesema Sheria hiyo ni hatua kubwa kwa Jimbo lake. Bangi inayotumiwa kisheria itabadilisha...
  15. JamiiForums Tanzania Ni umri gani ukishatimiza katika maisha bila kufanya jambo lolote utaishiwa kuchekwa?

    Dunia inaenda kwa kasi mnoo na umri pia unaenda kwa kasi mnoo hivyo kuna jambo ningependa tushare pamoja Hivi ni umri gani ukishatimiza bila kufanya jambo lolote la kimaendeleo utaishiwa kuchekwa na walimwengu?
  16. JamiiForums Tanzania Ni umri gani hutakiwi kuvuka kabla ya kupata mtoto wa kwanza?

    Mtoto wa kwanza inavyosemekana ndio kila kitu kwa maisha yako ya hapo baadae. Inapotokea umechelewa kupata mtoto wako wa kwanza, huko mbeleni kuna changamoto kubwa sana za kimaisha zinaweza kukupata umri unaopochelewa kupata mtoto. Hebu leo tujaribu kujuzana ni umri gani hautakiwi uwe umeuvuka...
  17. JamiiForums Tanzania Ili kupata kodi ya mapato ya trilioni 2 na zaidi, Serikali itumie sensa kikamilifu na itambue raia wanaozaliwa na wanaotimiza umri wa miaka 18.

    Suala la sensa katika nchi yoyote ile ni muhimu sana. Sensa hutoa picha halisi ya idadi ya watu katika nyumba katika nchi nzima. Sensa pia hutoa taarifa rasmi ambazo zitasaidia serikali kupanga namna ya kutoa huduma mbalimbali nchini kama usafiri, elimu na afya. Hivyo kila nyumba katika nchi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Habari zenu natafuta marafiki umri 30-39

    Habari zenu naitwa esarisa nipo dar nina miaka 30.natafuta marafiki umri 30-39 nicheck tafadhalii
  19. M

    JamiiForums Tanzania Umri unaenda sijisikii kabisa kuoa

    Umri wangu ni miaka 34 kwa sasa, Nina kazi as mwalimu, nafanya biashara na kilimo sana, nina nyumba zangu nilizojenga na nyingine za urithi, Nina mtoto mmoja namhudumia, mzazi mwenzangu nilishamtolea mahali yote kifupi kwa maisha ya kitanzania kwangu si Haba sana. Changamoto niliyonayo kubwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa umri gani anapaswa kuvaa barakoa?

    Watoto wenye umri wa miaka 5 kushuka chini hawatakiwi kuvaa barakoa Hii ni kwa sababu ya usalama na uwezo wa mtoto kutumia barakoa ipasavyo bila msaada wa mtu mzima. WHO na UNICEF wanashauri kwamba uamuzi wa kutumia barakoa kwa watoto wenye umri wa miaka 6-11 unapaswa kuzingatia mambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…