Wakuu kama title inavyojieleza hapo, ndugu zetu katika imaan wanaomba ufadhili wa rais Samia ili watekeleze ibada ya Umra na Hija.
================
Wanawake wa Kiislamu nchini wamemuomba Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuanzisha mpango wa ufadhili kwa Wanawake wenye hali duni ili...
Ndugu zetu waislam, huyu jamaa sasa mshaurini akiwa katika ibada apunguze kukengeuka na ushamba wake usiomuisha. Kwenye inada ya Umra huko Mecca ameonekana akiwa airpods zake. Huu sasa ni ushamba mzee wetu Kitenge.