Baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kulalamikia changamoto ya umeme kukatika mara kwa mara maeneo ya Kwahani Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini, Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) limetoa ufafanuzi kuhusu hali hiyo.
Hoja ya awali iko hapa ~ Shirika la Umeme Zanzibar mnatukwaza kukata...
Mimi ni Mkazi wa Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini.
Kero yangu ni kwa Shirika la umeme Zanzibar (ZECO).
Wamekuwa na muendelezo wa kukata umeme mara kwa mara maeneo ya Kwahani, ikizingatiwa sehemu hiyo kuna Kituo cha Afya, Ziwani Police Health Center kinachotoa Huduma za...
Anonymous (9bb1)
Thread
dhuluma
kampuni
kazi
kero
kero ya umeme
sheria
shirika
shirika la umeme
stahiki
umemeumemezanzibar
unyanyasaji
zanzibar
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (Zura), imetangaza bei mpya elekezi kwa watumiaji wote wa umeme kisiwani humo ambapo zitaaza rasmi Januari 20, mwaka huu.
Kwa mujibu wa Zura, ilipokea maombi ya kubadilisha bei za umeme kutoka Shirika la Umeme Zanzibar (Zeco) kutokana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.