umeme wa solar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Changamoto Umeme wa solar kuwah kuisha

    Poleni na kazi jamani, nilikua nachangamoto kwenye umeme wa solar nina solar panel Wat 100, betri N 80 la unga, Inverter 200 W na charge contro changamoto iliyopo hivi vitu vilipo fungwa vilikua vinafanya kazi vizuri na ilikua kipindi cha masika nashangaa kipindi hiki cha kiangazi betr inawah...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme wa solar kuisha haraka

    Wakuu kwema, wajuzi wa mambo ya umeme msaada tafadhali. Kimsingi nyumba ninayoishi haijafikiwa na umeme wa tanesco na sababu ni mtaa ninaoishi umepitiwa na mradi wa Rea na mimi sikuwa mnufaika kwakuwa nilichelewa kuhamia hivyo nimeambiwa nisubiri miezi 18 tangu tarehe ya kukabidhiwa kwa mradi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…