MAMA SAMIA SULUHU UMEANZA VIZURI MNO, UKITIMIZA HAYA HAKIKA ENZI YAKO HAITASAHAULIKA
Na Emmanuel Kasomi
Kila mtu ni yeye, ameumbwa kwa fikra na vipawa tofauti kabisa na hakuna kama yeye Duniani pote.
Wapo wanaomtaka Rais SAMIA SULUHU kuwa kopi ya Mtangulizi wake na wapo wanaomwambia awe Hivi...