Wakuu kwema rejea habari hapo juu, ndivyo ilivyo kuna code amenipa Mungu siwezi zitoa hapa maana nikizitoa wachungaji na manabii uchwara watazichukua na kunena watakayo.
Nimeoneshwa mtu ajiitae mkubwa yupo katika mauti nikajaribu msadia zikatoka farasi kumi wamebeba watu 10 wakitaka...
Endeleeni kupumzika kwa amani wote mliolala usingizi wa milele, nyie mmetangulia na sisi tutafwata sema hatujui siku wala saa.
Ni kweli ndugu zetu wanaondoka kila siku wapo tunaowafahamu na tusiowafahamu bahati ukiwa kiongozi ukitangulia mbele za haki jamii nzima itafahamu.
Ni kweli kwa sisi...
Tangu awamu iliyopita imeibuka Tabia ya kutakiana vifo.
Kifo sio option ya mwisho, Kuna kubadilika. Mfano Polepole hakuwahi kukemea Lissu kupigwa risasi angalau Sasa anadai kabadilika anakemea maovu.
Hii Tabia imeenda mbali Hadi karibu watumishi wa Mungu mitandaoni kukicha wanatabiria watu...
Tukio hili lilitokea China ndani ya hifadhi ya wanyama pori huko Beijing.
Wanandoa na mama mkwe (mama wa mke) walikuwa ndani ya hifadhi mke aliposhuka kuelekea upande wa dereva alikokuwa amekaa mumewe. Inadaiwa alikuwa anasubiri mumewe ahamie kwenye siti ya abiria ili yeye aendeshe. Punde...
Watumishi wa Mungu Tanzania wakiongozwa na Mtume @mtume_boniface_mwamposa wameandaa kongamano maalumu kwa ajili ya kumuombea Dua Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. @samia_suluhu_hassan na kuliombea Dua Taifa la Tanzania liepukane na migogoro ya kisiasa, vita na kila aina ya baya...
UGONJWA WA VIJANA NDO UMAUTI WAO.
Dhana mnayoiendekeza namnaiona ndo pepo yenu tambueni ndo umauti wenu pia maana hakuna kizuri kisicho kuwa na kasoro.
Yes nawakumbusha Vijana 👇
Mashangazi hupenda vijana kwa sababu ya Pumzi na ni Wateke Wanakuna mpaka Pochi manyoya zao zinaitika na wanaipata...
Mungu alitupa uwezo thabiti wa kufikiria, kujidhatiti, kuchukua tahadhari, kujilinda na mambo kadha wa kadha. Adui hasamehewi kirahisi na usimpe fursa ya ukaribu, ukizubaa anakumoa bila huruma.
Ushujaa ni neno zito sana na linahitaji kutumika kwa wapigania uhuru na mwenye harakati za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.