ulevi wa madaraka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kumfunga pingu Mwekezaji wa Mabasi ya Tilisho ni udhalilishaji, Vitisho na Ulevi wa madaraka

    Baada ya mkurugenzi wa mabasi ya Tilisho Safari aitwae John Tilisho (aliyevaa suti[angalia chini kwenye Video] ), kufungwa pingu kwa madai ya kukaidi agizo la uongozi wa Juu wa mkoa wa Dar es Salaam kuhusu stendi ya kimataifa ya Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dar bwana Chalamila kasema; "...kama...
  2. JamiiForums Tanzania Kusambaratika kwa vyama vya upinzania Tanzania huchochewa zaidi na ulevi wa madaraka, viburi na uropokaji wa viongozi wa vyama hivyo vya siasa

    Kwa mfano, Tukianzia na NCCR MAGEUZI, utabaini kwamba kiburi, majivuno, ubabe na ulevi wa umaarufu wa muasisi na kiongozi wa kwanza wa chama hicho wakati huo hayati Augustino Lyatonga Mrema ndio ulifanya chama hicho kusambaratika na kutokomea kabisa katika active politics za Tanzania. Hata...
  3. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Ulevi wa madaraka huondoa uvumilivu wa kusikiliza yale usiyoyapenda

    "Ulevi wa madaraka huondoa uvumilivu wa kusikiliza yale usiyoyapenda. Tukiikaribisha serikali kutuamulia nani ni nabii wa kweli na nani ni nabii wa uongo tutajikuta tunalazimika kupeleka nakala za mahubiri yetu kwa viongozi wa vitongoji siku ya ijumaa kabla ya jumapili ili watukubalie kama...
  4. R

    JamiiForums Tanzania CCM YAMJIBU JAJI WARIOBA, YASEMA CCM HAINA MGOGORO NA CHADEMA: Ona Ulevi wa Madaraka , Kejeli, Dharau, Dhihaka, impunity toka kwa Amos Makala

    Anasema hawana ugomvi na Chadema , wakati huo huo serikali anayoiongoza/inayoongozwa na chama chake ambacho yeye ni namba 4 in power hiarachy kwenye chama kinachoongoza serikali inalalamikiwa na Chadema,kuteka, kuua, kupoteza wanachama/viongozi wa chadema! Hii ni kejeli CCM YAMJIBU JAJI...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Madaraka hulevya; Rais ameanza kujimwambafai

    Kauli ya hivi karibuni za mkuu wa nchi alipokuwa akihutubia huko Arusha na kudai kuwa sisi hatufundishwa namna ya kuongoza na kwamba mambo ya utekaji yanayoendelea nchini yangekuwa yakewakera marais wa hizo balozi ambazo zinashinikiza uwepo wa uchunguzi huru wa mauwaji na utekaji kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Uraibu wa Bob Marley ina maana ni bora kuliko ulevi wa madaraka wa viongozi wetu?

    Redemption song Zion train African unite Stand up Kwanini nmemkumbuka Bob Marley? Ni kutokana na sekeseke la DUBAI PORTS WORLD. Gwiji huyu wa jamaica mistari yake ilijaa falsafa za ukombozi wa mtu mweusi kwa kiwango kikubwa. Lakini ukitazama baadhi ya viongozi wetu na ulevi wa madaraka...
  7. JamiiForums Tanzania Tazameni Ulevi mwingine wa Madaraka wa huyu RC

    Kweli ulevi haufai popote pale duniani. Tazameni Mkuu wa Mkoa anawalazimisha wananchi wenye ndoa wasiachane. Hivi huu ulevi ameutoa wapi au kwa sheria ipi anayotumia kuingilia ndoa za watu? Hakika nchi hii ni ngumu sana kuishi bila kucheka.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…