ukwepaji kodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bususwa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TRA, TAKUKURU na Uhamiaji mko wapi?

    Nimekuwa mfanyakazi wa kampuni moja kubwa sana hapa Dsm kwa zaidi ya miaka Saba sasa, baadae nilipelekwa mkoani kwaajili ya kazi yangu hiyo hiyo,hapa sitataja Mkoa kwa sababu ya kuficha uhusika wangu kamili. Hii kampuni imekuwa na mambo ya ajabu sana, tumeajiriwa kwa jina la kampuni x, lakini...
  2. The Wolf

    JamiiForums Tanzania Kuepusha dhuluma kwenye mishahara na ukwepaji kodi, TRA itoe Final Salary Slip kwa wafanyakazi

    Wafanyakazi wananyonywa sana, makato ni mengi, lakini taasisi ziwe za serikali ama binafsi kupeleka michango hiyo sehemu husika imekuwa ni issue sana. Inafikia mfanyakazi anastaafu, ameumia kazini ama ameacha ajira anakosa stahiki yake kwa sababu hamna michango ambayo imepelekwa sehemu husika...
  3. M

    JamiiForums Tanzania TRA fuatilieni hii kampuni ya wachina inayoitwa Hiview International Co Ltd, wanakwepa kodi sana

    Mimi ni mjasirilismali,nina duka la matairi ya magari huku Mwanza. Nilielekezwa kwenye hiyo kampuni tajwa hapo juu kuwa wanauza matairi ya jumla,basi nikafunga safari mpaka dar nikawatafuta mpaka ofisini kwao,ofisi zao ziko mikocheni sehemu inaitwa njia panda ya mawaziri. Nilivyofika...
  4. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TRA mulikeni hawa Wachina, wanahujumu uchumi wetu. Hawalipi kodi ipasavyo

    Salamu wakuu, Hili nimekutana nalo jana, japo imekuwa sio ngeni ila hii niliipokea kwa uchungu mkubwa sana (sijui kwa vile ni Wachina), kama mzalendo ikabidi ‘nipachimbe’ sana. Wanauza bidhaa kwa kile wanachoita ‘bei ya kiwandani’ hivyo mteja unategemea unafuu wa bei, na kwa kuzingatia hilo...
Back
Top Bottom